Mwakani hatutasikia kelele za kambi Tunisia wala Uturuki

Mwakani hatutasikia kelele za kambi Tunisia wala Uturuki

TATIZO HAMJUI maana ya Pre season.

Pre season ya Football.
NI MAZOEZI MAGUMU MNO YA MWILI ( UTIMAMU WA MWILI KUELEKEA MSIMU MPYA.

MAZOEZI YA VIUNGO KWAAJILI YA KUWA FITI KAMA VILE.

- MAZOEZI YA GYM
-Vyuma.
-Pumzi.
-Mbio.
-Misuri nk.

Miwili ya Wachezaji Bado ni Migumu sana Huwa Inaanza ki relax Baada ya Mwezi mmoja.
 
Nimempenda sana Rafiki yangu MPWAYUNGU Village.

Ameomba kwa Uongozi WA Jamii Forum ( Moderators kuwa w fute Nyuzi zake ZOTE kwa sababu ZIFUATAZO.

1. Ameona ZINAJAZA SEVA za Jamii Forum bila sababu yoyote ya Msingi.

2. Ameona hazina umuhimu sana Kwa Jamii.
Hazina madini AU fursa kwa Jamii kuweza kuzitumia kama ( Reliable source of Information).

NADHANI TUNAOANDIKA PUMBA TUJITEKEBISHE.

TUILINDE JAMII forum WAOVU wasiishinde.
 
TATIZO HAMJUI maana ya Pre season.

Pre season ya Football.
NI MAZOEZI MAGUMU MNO YA MWILI ( UTIMAMU WA MWILI KUELEKEA MSIMU MPYA.

MAZOEZI YA VIUNGO KWAAJILI YA KUWA FITI KAMA VILE.

- MAZOEZI YA GYM
-Vyuma.
-Pumzi.
-Mbio.
-Misuri nk.

Miwili ya Wachezaji Bado ni Migumu sana Huwa Inaanza ki relax Baada ya Mwezi mmoja.
So hayo yote yanapatikana Uturuki pekee?
 
TATIZO HAMJUI maana ya Pre season.

Pre season ya Football.
NI MAZOEZI MAGUMU MNO YA MWILI ( UTIMAMU WA MWILI KUELEKEA MSIMU MPYA.

MAZOEZI YA VIUNGO KWAAJILI YA KUWA FITI KAMA VILE.

- MAZOEZI YA GYM
-Vyuma.
-Pumzi.
-Mbio.
-Misuri nk.

Miwili ya Wachezaji Bado ni Migumu sana Huwa Inaanza ki relax Baada ya Mwezi mmoja.
kambi imedoda
 
Mie nilipingana na hizo kambi za Simba, ila yaonesha kuna watu hufaidika nazo
 
Mie nilipingana na hizo kambi za Simba, ila yaonesha kuna watu hufaidika nazo
Hakuna kambi pale ni michongo ya watu tu, Hakuna pre seson wachezaji wanaingia kambini kwa mafungu, kuanzia wiki ya kwanza mpaka ya mwisho.
 
Back
Top Bottom