Mwakani hatutasikia kelele za kambi Tunisia wala Uturuki

Haiwezekani kumlazimisha kila MTU any we gongo,eti kwa sababu wewe unainywa na inakulewesha,hivyo aache kunywa pombe iuzwayo kwa gharama kubwa! Pia, kuna watoto wanasoma shule za kata, wanafanya vizuri kwenye masomo yao,kuliko wasomao shule za kulipia,tena kwa gharama kubwa! Kwa sababu hiyo,mzazi hawezi kushawishika kumtoa huko,na kumpeleka shule ya kata!
Hiyo ni roho ya kimasikini!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawajazuiwa kwenda tena Uturuki. Ila sioni rationale ya kwenda huko
 
Kila mtu ameona. Ni kama hawakwenda preseason. Waliobaki hapa Dar ndio wameonekana wameiva.

Ushamba na makelele ya Uturuki na Tunisia kwisha! Usifanye mchezo na dk. 180 (mechi 2) bila goli.
Muwe mnaenda shule kuelimika sio kwaajili ya kufaulu mtihani wa kinjikitile ngwale alizaliwa mwaka gan...naona kama simba kwenda uturuki imeleta kawivu fln kwa wanayanga washamba kama wewe.
Pre season ni kwaajili ya kurudisha utimamu wa mwili wa wachezaji kabla ya msimu kuanza...kwa asilimia kubwa huwa ni kambi kuna wachezaji pre season wanatumia muda kukaa na familia zao kula na kuenjoy hagusi mazoezi na wengn huongezek kilo n.k..
Nikuulize ni timu ngapi za uingereza zilienda pre season marekani nadhan jibu unalo karbia timu10 za england pekee ziliweka kambi kule je,unafikiri timu zote zitakuwa bingwa na kucheza vzr instantly kama uwazavyo wewe...
ACHA WIVU MZEE Na MUNGU SIO BABU YENU MNGESHINDA NA MLIVOKAZA CJUI INGEKUWAJE Zile zilikuwa mechi 2 za kuwa bingwa tu ni mechi za mbinu
 
UKIONA wachezaji WANACHEZA vibaya ujue Kambi imekolea kweli KWELI.

Baada ya week kadhaa watarudi kwenye viwango vyao.

Miili itarelax watatisha mno
Huwa nafuatilia michango yako humu.

Huwa upo very direct, hujawahi kuchangia kwa kumfurahisha mtu.

Utakuwa vizuri kuhusu mpira wa miguu.
 
Cha muhimu Simba kachukua ubingwa mengine ni porojo z
 
UJINGA ni KIPAJI.

Baada ya kuuliza update UFAHAMU.
Kisayansi

Unadumisha UJINGA NA UPUMBAFU.

AMA KWELI TANZANIA MASIKINI.
Unajificha kwenye kichaka cha matusi. Lazima uliugua sana utotoni
 
Muwe mnaenda shule kuelimika sio kwaajili ya kufaulu mtihani wa kinjikitile ngwale alizaliwa mwaka gan...naona kama simba kwenda uturuki imeleta kawivu fln kwa wanayanga washamba kama wewe.
Pre season ni kwaajili ya kurudisha utimamu wa mwili wa wachezaji kabla ya msimu kuanza...kwa asilimia kubwa huwa ni kambi kuna wachezaji pre season wanatumia muda kukaa na familia zao kula na kuenjoy hagusi mazoezi na wengn huongezek kilo n.k..
Nikuulize ni timu ngapi za uingereza zilienda pre season marekani nadhan jibu unalo karbia timu10 za england pekee ziliweka kambi kule je,unafikiri timu zote zitakuwa bingwa na kucheza vzr instantly kama uwazavyo wewe...
ACHA WIVU MZEE Na MUNGU SIO BABU YENU MNGESHINDA NA MLIVOKAZA CJUI INGEKUWAJE Zile zilikuwa mechi 2 za kuwa bingwa tu ni mechi za mbinu
Fupisha andiko basi
 
Mungu kaingiaje humu
 
Kila mtu ameona. Ni kama hawakwenda preseason. Waliobaki hapa Dar ndio wameonekana wameiva.

Ushamba na makelele ya Uturuki na Tunisia kwisha! Usifanye mchezo na dk. 180 (mechi 2) bila goli.
Hiyo sports tourism
Hata timu za Ulaya huwa wanaenda Uarabuni na Marekani
 
Back
Top Bottom