- Thread starter
- #61
sawaMnaumia sana mwaka timu inaenda Ufaransa kabisa .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawaMnaumia sana mwaka timu inaenda Ufaransa kabisa .
Kwenda pre season nje ya nchi ni utamaduni wa club kubwa zote duniani kuanzia england ,Spain na Africa ,club zote za mfano ndio zinafanya hivyo ,ni ushamba kushangaa pre season ,club yako itafute pesa .Club ipi kubwa Africa ilifanya pre season nyumbani?Wewe na club yako unafikiri una akili kuliko wao?Kila mtu ameona. Ni kama hawakwenda preseason. Waliobaki hapa Dar ndio wameonekana wameiva.
Ushamba na makelele ya Uturuki na Tunisia kwisha! Usifanye mchezo na dk. 180 (mechi 2) bila goli.