Mwakani hatutasikia kelele za kambi Tunisia wala Uturuki

Kwani Uturuki walienda kutafuta wachezaji au kocha kuwa wakirudi watakuwa tofauti?
 
kwa hiyo wewe unadhani walienda kule kwa ajili ya kufanya training ya kuja kucheza ngao ya jamii?
Effectiveness ya training ya huko Uturuki inapaswa kuonekana wapi? extremely poor question
 
Kwa hiyo wiki mbili za kuwa huko tena wengine wamekuja ndani ya siku mbili ulitaka uzione kwenye community shield? We kweli kichaa.

Tena hapa ndio nimekuona kichaa zaidi maana hujui maana ya safari husika.

extremely poor question
 
Tafuteni hela jamani,timu kubwa zote duniani preseason husafiri mbali kabisa na nchi zao ili kurefresh mind za wachezaji wake kabla ya kuanza msimu mpya
 
Kwa hiyo wiki mbili za kuwa huko tena wengine wamekuja ndani ya siku mbili ulitaka uzione kwenye community shield? We kweli kichaa.

Tena hapa ndio nimekuona kichaa zaidi maana hujui maana ya safari husika.
Hilo ni tatizo la nani. Idiot
 
Kila mtu ameona. Ni kama hawakwenda preseason. Waliobaki hapa Dar ndio wameonekana wameiva.

Ushamba na makelele ya Uturuki na Tunisia kwisha! Usifanye mchezo na dk. 180 (mechi 2) bila goli.
Hujui maana ya pre season piga kimya
 
w
Nimempenda sana Rafiki yangu MPWAYUNGU Village.

Ameomba kwa Uongozi WA Jamii Forum ( Moderators kuwa w fute Nyuzi zake ZOTE kwa sababu ZIFUATAZO.

1. Ameona ZINAJAZA SEVA za Jamii Forum bila sababu yoyote ya Msingi.

2. Ameona hazina umuhimu sana Kwa Jamii.
Hazina madini AU fursa kwa Jamii kuweza kuzitumia kama ( Reliable source of Information).

NADHANI TUNAOANDIKA PUMBA TUJITEKEBISHE.

TUILINDE JAMII forum WAOVU wasiishinde.
wee shog vipi nahuu upupu wako Kila sehemu?unataka huyu jamaa akulale nini?
 
Kila mtu ameona. Ni kama hawakwenda preseason. Waliobaki hapa Dar ndio wameonekana wameiva.

Ushamba na makelele ya Uturuki na Tunisia kwisha! Usifanye mchezo na dk. 180 (mechi 2) bila goli.
Ushamba tu unawasumbua utopolo... Preseason ina malengo mengi kubwa likiwa team kujiandaa na msimu mpya ila mengineyo yanajumuisha kubadilisha hali ya hewa, relaxation ya wachezaji na benchi la ufundi. Kiufupi ni aina nyingine ya Holiday kwa wachezaji na benchi la ufundi... Endeleeni kujifungia huko Kimbiji na mwaka huu mapema mnatolewa michuano ya CAF, Mtakaa kimbiji mpaka kimbiji iwazoee!
 
Wewe ndo umayeamua Yanga kutolewa mapema? Maradhi ya utotoni yamekuathiri
 
Kila mtu ameona. Ni kama hawakwenda preseason. Waliobaki hapa Dar ndio wameonekana wameiva.

Ushamba na makelele ya Uturuki na Tunisia kwisha! Usifanye mchezo na dk. 180 (mechi 2) bila goli.
Mnaumia sana mwaka timu inaenda Ufaransa kabisa .
 
Back
Top Bottom