Kwenda pre season nje ya nchi ni utamaduni wa club kubwa zote duniani kuanzia england ,Spain na Africa ,club zote za mfano ndio zinafanya hivyo ,ni ushamba kushangaa pre season ,club yako itafute pesa .Club ipi kubwa Africa ilifanya pre season nyumbani?Wewe na club yako unafikiri una akili kuliko wao?