Mwakani nahamia Nissan: Either Leaf, Note au Ariya!

Mwakani nahamia Nissan: Either Leaf, Note au Ariya!

Nimeingia nakutana na post code nimeachana nao
Weka postcode yeyote ya mtandaoni hata wauza magari au hata hospital za huku
Very simple 👌
Utapata idea kwa bei za huku kuanzia magari aina yote mpaka machineries, trucks, nk
 
"Tatizo hizo gari zina umeme mwingi "
Fundi Gereji chini ya mwembe
 
Hayana flavor, unaendesha gari kama toi. Binafsi sioni utam wa gari bila kubadilisha gear na kusikilizia sauti ya engine ikiitikia
Wakati gari zenye engine zinaanza kuingia road, wenye gari za farasi walikuwa na mixed feelings. Ni suala la muda kuwa tu na open mind, the future itakushangaza, ukienda tu china utashangaa consumer mindset ya magari ya EVs wanavyoiona sivyo sisi tunavyoiona.
 
Hivi ile Nyumbu ya Tanzania iliishia wapi? Ungekuta wanatoa saloon car hivi Sasa.
 
Ni kweli. Ila kwa Mimi binafsi napenda niendeshe gari na sio gari kuniendesha.
 
Sure thing.

CVT ndio imemuharibia sana Nissan. Na siwezi kutua kwenye mtego wa iyo transmission ata iweje.
Cvt ni moja ya unreliable gears. Nissan wamezikomalia sana kwenye gar zao ndogo, but gari kubwa wanatumia traditional gears which are more reliable. Its what happen usipo wasikiliza wateja
 
Hivi ile Nyumbu ya Tanzania iliishia wapi? Ungekuta wanatoa saloon car hivi Sasa.
They cant keep up na modern cars, unless waache hizo old designs else hawatoweza ku compete
 
Back
Top Bottom