Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Auto Trader 🇬🇧Hii website gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Auto Trader 🇬🇧Hii website gani?
Weka postcode yeyote ya mtandaoni hata wauza magari au hata hospital za hukuNimeingia nakutana na post code nimeachana nao
Wewe ndio Kama mimi. Sitaki kusikia kabisa magari ya Umeme.Nissan Patrol Platinum hayo mengine bakin nayo.. magari ya umeme kusema ukweli yamenipita kushoto vibaya mno..
Mim siyaelewi hata kidogo.. unaendesha gari linazima chaji kama simWewe ndio Kama mimi. Sitaki kusikia kabisa magari ya Umeme.
Hayana flavor, unaendesha gari kama toi. Binafsi sioni utam wa gari bila kubadilisha gear na kusikilizia sauti ya engine ikiitikiaMim siyaelewi hata kidogo.. unaendesha gari linazima chaji kama sim
Lenye engine, mafuta yakiisha linazimaje mkuu 😃😃Mim siyaelewi hata kidogo.. unaendesha gari linazima chaji kama sim
Wakati gari zenye engine zinaanza kuingia road, wenye gari za farasi walikuwa na mixed feelings. Ni suala la muda kuwa tu na open mind, the future itakushangaza, ukienda tu china utashangaa consumer mindset ya magari ya EVs wanavyoiona sivyo sisi tunavyoiona.Hayana flavor, unaendesha gari kama toi. Binafsi sioni utam wa gari bila kubadilisha gear na kusikilizia sauti ya engine ikiitikia
Ni kweli. Ila kwa Mimi binafsi napenda niendeshe gari na sio gari kuniendesha.Wakati gari zenye engine zinaanza kuingia road, wenye gari za farasi walikuwa na mixed feelings. Ni suala la muda kuwa tu na open mind, the future itakushangaza, ukienda tu china utashangaa consumer mindset ya magari ya EVs wanavyoiona sivyo sisi tunavyoiona.
Cvt ni moja ya unreliable gears. Nissan wamezikomalia sana kwenye gar zao ndogo, but gari kubwa wanatumia traditional gears which are more reliable. Its what happen usipo wasikiliza watejaSure thing.
CVT ndio imemuharibia sana Nissan. Na siwezi kutua kwenye mtego wa iyo transmission ata iweje.
They cant keep up na modern cars, unless waache hizo old designs else hawatoweza ku competeHivi ile Nyumbu ya Tanzania iliishia wapi? Ungekuta wanatoa saloon car hivi Sasa.