Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Wamezoea kupenyeza ushirikina katikakati ya uwanja na kufukia uchawi lakini safari hii wale wanaowatumiaga wanajiita "makomandoo" uchwara wamepigwa marufuku kuingia ndani ya uwanja wakijifanya wanaulinda wakati tiyali uwanja una walinzi wake!!!
Kitendo Cha kuifanyia marekebisho pitch ya uwanja wa taifa ni pigo jingine kwa mwakarobo kwani Kuna vitu vya ajabu vimefukuliwa kati kati ya uwanja na kuondoshwa aijulikani ni timu Gani iliweka takataka zile lakini aiitaji akili kubwa kujua!
Mechi kupigwa ijumaa nalo ni pigo jingine kwa wazee wa ndumba na slogan yao ya kwa mkapa atoki mtu, kinyota aijawakalia sawa ata kidogo, wataloga sana lakini aitowasaidia chochote kwa maana Giza aijawai kuishinda Nuru maana waarabu ni siku yao kuu ya kuabudu na kupiga Dua ya kufa mtu Dua ambayo itasambaratisha Kila aina ya uchafu uliowekwa pale kwa mkapa!
Wanatoka kwenye swala ya ijumaa wanakwenda kujiandaa na mechi ya jioni mwenye akili atakuwa kanielewa na Imani ya waarabu inajulikana!
Kwa sababu izo kuu mashabiki wa kolo wasiende na matokeo yao mfukoni maana Kuna wasiojitambua nawaona wakibwabwaja maneno mengi Kama vile wamekatika vichwa uku wengine wakienda mbali zaidi kuwa wanaifunga Aly ahly kuanzia goli 4🤔🤔🤔 bila kujiuliza ndani ya mechi 4 walizocheza wao wameruhusu goli ngapi?
NB: Tujifunze kuwa na akiba ya maneno