Mwakarobo Junior kuzinduliwa rasmi April 5 huko Pretoria

Kasiano Muyenzi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2018
Posts
13,858
Reaction score
22,729
Tayari tunaye Mwakarobo senior mzoefu nguli wa kutinga robo fainali kwa miaka mitano kisha anapaki bus.

🐸🐸 kaibuka kutoka huko matopeni jangwani na kuanza kukimbizana na wakali wa CAFCL na uzinduzi wake wa kuwa Mwakarobo jr utafanyika rasmi April 5 huko Pretoria.

Hii ni heshima kwa nchi yetu kuwa na Mwakarobo wawili ambao mmoja ni mwandamizi na mwingine ni dogo tu anayeanza kutambaa katika kukimbizana na wakali wa CAFCL.

Sio mbaya tukimshukuru mhamasisaji mkuu wa chama.

 
Aaahaaaa
 
whisky ipo kichwani na hakuna anaejua hata usingesema..πŸ˜‚
Hivi yule demu Evelina wa chumvini alikubadilisha hadi ukaacha kunywa serengeti large na kuhamia kwenye mvinyo?
 
Huyo mchoraji huo nyuma ni mgongo au
 
Hahaha
Nimecheka Hilo neno mwakarobo JrπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…