Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Tayari tunaye Mwakarobo senior mzoefu nguli wa kutinga robo fainali kwa miaka mitano kisha anapaki bus.
🐸🐸 kaibuka kutoka huko matopeni jangwani na kuanza kukimbizana na wakali wa CAFCL na uzinduzi wake wa kuwa Mwakarobo jr utafanyika rasmi April 5 huko Pretoria.
Hii ni heshima kwa nchi yetu kuwa na Mwakarobo wawili ambao mmoja ni mwandamizi na mwingine ni dogo tu anayeanza kutambaa katika kukimbizana na wakali wa CAFCL.
Sio mbaya tukimshukuru mhamasisaji mkuu wa chama.