Mwakilishi wa Palestina Umoja wa Mataifa aangua kilio!

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,439
Reaction score
145,410
Inatia simanzi kwa kweli!

Wote waliosababisha hayo madhila ya sasa, walaaniwe milele [if there’s such a thing].

Hamas are no heroes. They are suckers and losers.

Yahya Sinwar and Co. are punks and deserved everything they got and then some.

What kinda hero puts their people through such hell?

October 7 didn’t accomplish anything other than bring misery to the majority of Gazans.

Shame on the entire world for letting a genocide continue to happen in Gaza.

Those people are human beings, for god sake!

When will the world say enough is enough?

Oh, btw, Benjamin Netanyahu, *** you and your whole entire government, too.

Your browser is not able to display this video.
 
Wazee wa kuplay victim.cards hao wala musiwaonee huruma magaidi hao.
 
Wangejutia uovu wa October 7 na kuzingatia masharti yangeshaisha. Kinachoendelea huko ni kwa sababu ya jeuri yao ya kipumbavu.

Masharti yapi? Ni nani walivunja ceasefire? Mateka si ilikubaliwa watarudishwa? Why myahudi mwenye asili ya Poland Benjamin Mileikowsky ambaye ni waziri mkuu wa dola ya kigaidi ya kivamizi ya kizayuni alikataa na analazimisha mashambulizi badala ya ceasefire ili mateka warudi?
 
Mkuu tunajua kabisa wewe mbongo mwenzetu na unajua kizungu. Basi humu kwa waswahili acha kujimwambafai na kiingereza kwani tunajua fika kwamba uko majuu na unajua kizungu.
 


Hamas wamewaponza Wapalestina na kuwapa sababu mashetani wa kizayuni. Hakuna kinachohalalisha genocide ya Palestine, ila Hamas walikosea kwa yale waliyoyafanya October 7, wamewaletea balaa ndugu zetu. Wanawajua mazayuni kuwa ni mashetani wa kibinadamu ambao hawawaonei huruma hata mayahudi wenzao, wewe Soma tu Hannibal Directive uone hawa walivyokuwa sio binadamu wa kawaida. Soma Samson Option uone mabalaa. Watu kama hawa (mashetani wa kizayuni) sio wakutarajia kuwa watawaonea huruma watoto na wanawake zenu na kuogopa kuwashambulia eti kwa sababu mna raia wao kama mateka eti wataogopa kuwashambulia na kuwapiga vita. Hawa mashetani hawajali hata kuhusu raia wao, vipi watajali kuhusu Gaza?

Wazee wao katika uyahudi waliua mpaka manabii wa Allah! Na wakajaribu kuwaua wengine katika manabii wa Allah (Amani iwe juu yao). Hawa waliokuja baadae ambao ni the worst kuliko wale waliowatangulia hawawezi kuonea huruma watoto au wanawake hata kidogo.


Hamas walikosea.


Allah awalipe kheri ndugu zetu wanaoteswa na hawa watu wasio na kwao, wanaotangatanga. Allah awanusuru ndugu zetu, na aharakishe kuangamia kwa hawa madhalimu wa kizayuni, Aamiin.
 
Hamas walikubali kusitisha vita na kubadilishana mateka, Netanyahu hivi sasa anaishambulia Gaza kwa nguvu zaidi, nadhani ile siku ya kukabidhiana mateka hawakuamini kama Hamas bado wana nguvu na ni wengi kiasi kile mi mwenyewe nilishangaa, na zile gari zao mpya zote sijui wanazificha wapi...

Kibaya zaidi kilichimuuma mzee Neta ni Hamas kutoka mashimoni wakishangilia ushindi huku wananchi wakipiga miluzi kuonyesha wanawakubali...

Oct 7 Hamas walichofanya Hamas ni sawa tu na Israel ambavyo iekuwa ikua raia wa Gaza makusudi, kabla ya Oct 7 Israel ilishaua Palestinians zaidi ya 134,000(laki moja na elfu thelathini na nne) toka 1948.

Nadhani hio Oct 7 ni baada ya Hamas kuchoka kuonewa , kuchukuliwa mateka, kufungwa jela kwa Palestinians...

Mi naunga mkono Hamas, hata kwenye serikali zetu za kiafrika wapinzani wanaotetea haki za wananchi, kuikosoa serikali wanateswa na kuuawa hovyo, kufungwa jela na wengine kukimbia nchi kuokoa uhai wao na familia zao.

Hao wapinzani wakiamua kujibu mapigo kwa kile kile wanachofanyiwa inakuwaje uje useme ni magaidi au wao ndio wameanzisha vurugu?
 
Inaumiza sana kama binadamu lakini wakumbuke kuwa walioanza kuwasha kibiriti ni wao, leo wanatafuta huruma.

Kipindi wanachinjwa na kupiga mabomu binadamu wenzao huku wakitamka maneno "allahu akbar" hawakukumbuka kuwa hata wao ni binadamu wenye damu na nyama.
 
Baada ya Oct 7, Hamas wamefanikiwa kipi mpaka sasa?...

Gaza yote imegeuka mji wa magofu, huku Wapalestina zaidi ya 50,000 wakiuawa na maisha yao kuharibiwa.

Netanyau anaongoza serikali ya wahalifu na wauaji kama ambavyo Hamas walivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…