Mwakilishi wa Palestina Umoja wa Mataifa aangua kilio!

Mkuu tunajua kabisa wewe mbongo mwenzetu na unajua kizungu. Basi humu kwa waswahili acha kujimwambafai na kiingereza kwani tunajua fika kwamba uko majuu na unajua kizungu.
Acha wivu. Pia, una inferiority complex.

Hili ni jukwaa la kimataifa na lugha zote mbili nilizotumia, zinakubalika.

Unaona donge huna uwezo kama wangu wa kuandika Kiswahili safi na Kiingereza kilichonyooka.

Si ajabu hata hujaelewa nilichokiandika ndo maana umeamua kutema machungu yako.

Pole.
 
Inatia simanzi kwa kweli!

Wote waliosababisha hayo madhila ya sasa, walaaniwe milele [if there’s such a thing].

Hamas are no heroes. They are suckers and losers.

Yahya Sinwar and Co. are punks and deserved everything they got and then some.

What kinda hero puts their people through such hell?

October 7 didn’t accomplish anything other than bring misery to the majority of Gazans.

​
Shame on the entire world for letting a genocide continue to happen in Gaza.

Those people are human beings, for god sake!

When will the world say enough is enough?

Oh, btw, Benjamin Netanyahu, *** you and your whole entire government, too.

Waache kujilizaliza Oct 07,2023 Waliipanga wenyewe sasa wanalia nini? Walivamia wenyewe wasitake Sympathy kutoka kwa walimwengu.

Watoto wao pia wamewafunza Ugaidi wakiuliwa kwa nini mnalialia? Kumbuka I Mkuu wa Majeshi wa IDF wakati anaapishwa aliwaambia “ Mtoto anaweza kuchezea matiti ya Mama yake lakini hawezi kuchezea Korodani za Baba yake”
 
Baada ya Oct 7, Hamas wamefanikiwa kipi mpaka sasa?...

Gaza yote imegeuka mji wa magofu, huku Wapalestina zaidi ya 50,000 wakiuawa na maisha yao kuharibiwa.

Netanyau anaongoza serikali ya wahalifu na wauaji kama ambavyo Hamas walivyo
Hamas imefanikiwa kuharibu uhusiano mzuri uliokuwepo kati ya Israel na mataifa mengine hasa ya kiarabu, hata nchi baadhi za Ulaya tumeona zikisikitishwa kwa kile Israel inafanya.. Maandamano makubwa yamefanyika kote duniani kuunga mkono Palestina, na baadhi ya nchi zimechukua hatua kama kusimamisha uhusiano wa kidiplomasia na Israel au kutoa wito wa kuipeleka Israel Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC).

Wamefanikiwa kuionyesha dunia Israel haitishi kijeshi kama watu walivyodhani mwanzoni..

Pia wamefanikiwa kuwapa Palestinians sauti duniani wasikilizwe tofauti na mwanzoni, hii imeibua mijadala mipya kuhusu ukoloni na haki za binadamu.

Yote hayo kutokea gharama kubwa ya damu ya wapalestina imetumika...

yote na yote walichofanya Hamas Oct 7 haikuwa sahihi, walitumia zaidi hisia kuliko akili, lakini pia siwalaumu kwa sababu nao ni wanadamu, wanahisi uchungu na hawapendi kunyanyaswa... hata katika maisha yetu ya kawaida hasa kwenye mahusiano kuna watu wanauana tena mauaji ya kikatili kutokana na usaliti, kudhalilishwa n.k

Hasira isiyodhibitiwa ni hatari na inaweza kugeuza mtu mzuri kuwa muuaji au mharibifu...
 
Tatizo Sheria za kimataifa azifuatwi kuusu Palestina ndicho kilichomliza uwo ndio Ukweli!!!!!!

Mashilika ya kimataifa ya ugawaji chakula yapo lkn Marekani na Israel wanataka wao ndio wausike kugawa chakula !!¿¿

kwann Palestina tu yanatokea aya uku awa awa ndio wanauwa watu na kuibomoa Gaza !!!

tena wao ndio Wagawaji wa Chakula !!!

njama yao kutaka kuidanganya Dunia eti Hamas ndio wanazuiya ugawaji wa chakula !!!

apa apo iyonekane eti Marekani na Israel ni watu wema wenye kuwajari wa Palestina na Hamas ndio wabaya!!!!!!

kwaiyo Wamejibebesha jukum sio lao kwajilii ya Propaganda kuuwadaa ulimwengu kuusu Hamas na Chakula.. Shetani ajawai mshinda Mungu na aitotokea Shetani kumshinda Mungu!!!

wataendelea na kuendelea kuumbuka kudai eti watetezi wa haki !!!

kumbe wenyewe ndio majambazi mwitu Hatari zaid kwa Haki za Binadamu Wanaouwa ad vitoto vichanga ,,
 
Inatia simanzi kwa kweli!

Wote waliosababisha hayo madhila ya sasa, walaaniwe milele [if there’s such a thing].

Hamas are no heroes. They are suckers and losers.

Yahya Sinwar and Co. are punks and deserved everything they got and then some.

What kinda hero puts their people through such hell?

October 7 didn’t accomplish anything other than bring misery to the majority of Gazans.

Shame on the entire world for letting a genocide continue to happen in Gaza.

Those people are human beings, for god sake!

When will the world say enough is enough?

Oh, btw, Benjamin Netanyahu, *** you and your whole entire government, too.

How about Africans who died during colonialialism, how about Congolese who are dying everyday like baboons, how about Sudanese, please don't cry like a baby pig
 
Hamas walikubali kusitisha vita na kubadilishana mateka, Netanyahu hivi sasa anaishambulia Gaza kwa nguvu zaidi, nadhani ile siku ya kukabidhiana mateka hawakuamini kama Hamas bado wana nguvu
Wakati mwingine mtumie akili zenu vizuri!! Kuvaa Combat kipindi cha kubadirishana mateka ndiyo unasema wana nguvu nguvu gani hiyo. Waambie mabwana zako waingie ulingoni tuwaone wanavyopigwa!!! Kuvaa combat haimaniishi una nguvu!!! Wajinga tu na wapumbavu kama wewe ndiyo wataamini upuuzi wako huu.
mi mwenyewe nilishangaa, na zile gari zao mpya zote sijui wanazificha wapi...
Kwa ujinga wako lazima tu ushangae maana hizo gari mpya ni za Red cross ziliingizwa Gaza ili kufanikisha zoezi la kubadirishana Mateka na Wafungwa!!!
Kibaya zaidi kilichimuuma mzee Neta ni Hamas kutoka mashimoni wakishangilia ushindi huku wananchi wakipiga miluzi kuonyesha wanawakubali...
kwa kuwa wewe ni mjinga huelewi kuwa hicho ndicho kinachowatesa wananchi wa Gaza!!
Oct 7 Hamas walichofanya Hamas ni sawa tu na Israel ambavyo iekuwa ikua raia wa Gaza makusudi, kabla ya Oct 7 Israel ilishaua Palestinians zaidi ya 134,000(laki moja na elfu thelathini na nne) toka 1948.
Hebu tupe hizo data umezipata wapi? Tumia akili zako vizuri hizo figure haziwezi kusaidiwa chochote wala haiwezi kuhalalisha Ushenzi walioufanya Oct 07,2023.
Mi naunga mkono Hamas, hata kwenye serikali zetu za kiafrika wapinzani wanaotetea haki za wananchi, kuikosoa serikali wanateswa na kuuawa hovyo, kufungwa jela na wengine kukimbia nchi kuokoa uhai wao na familia zao.

Hao wapinzani wakiamua kujibu mapigo kwa kile kile wanachofanyiwa inakuwaje uje useme ni magaidi au wao ndio wameanzisha vurugu?
Ujinga kama huo huwezi kufanya kitendo cha magaidi wa Hamas Oct 07,2023 kuwa halali binafsi napendekeza tu wapigwe mpaka wachakae!!
 
Tatizo Sheria za kimataifa azifuatwi kuusu Palestina ndicho kilichomliza uwo ndio Ukweli!!!!!!

Mashilika ya kimataifa ya ugawaji chakula yapo lkn Marekani na Israel wanataka wao ndio wausike kugawa chakula !!¿¿

kwann Palestina tu yanatokea aya uku awa awa ndio wanauwa watu na kuibomoa Gaza !!!

tena wao ndio Wagawaji wa Chakula !!!

njama yao kutaka kuidanganya Dunia eti Hamas ndio wanazuiya ugawaji wa chakula !!!

apa apo iyonekane eti Marekani na Israel ni watu wema wenye kuwajari wa Palestina na Hamas ndio wabaya!!!!!!

kwaiyo Wamejibebesha jukum sio lao kwajilii ya Propaganda kuuwadaa ulimwengu kuusu Hamas na Chakula.. Shetani ajawai mshinda Mungu na aitotokea Shetani kumshinda Mungu!!!

wataendelea na kuendelea kuumbuka kudai eti watetezi wa haki !!!

kumbe wenyewe ndio majambazi mwitu Hatari zaid kwa Haki za Binadamu Wanaouwa ad vitoto vichanga ,,
Waache kujiliza-liza waliyataka wenyewe Oct 07,2023!,,,
 
Hamas imefanikiwa kuharibu uhusiano mzuri uliokuwepo kati ya Israel na mataifa mengine hasa ya kiarabu, hata nchi baadhi za Ulaya tumeona zikisikitishwa kwa kile Israel inafanya.. Maandamano makubwa yamefanyika kote duniani kuunga mkono Palestina, na baadhi ya nchi zimechukua hatua kama kusimamisha uhusiano wa kidiplomasia na Israel au kutoa wito wa kuipeleka Israel Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC).
Hapo Hamas wanafaidika vipi wakati Gaza zaidi ya watu 50,000 Mimi yao imekuwa Vifusi? Acha ujinga huo ni Upumbavu tu unawasumbua!!!
Wamefanikiwa kuionyesha dunia Israel haitishi kijeshi kama watu walivyodhani mwanzoni..
Kwa kipondo kama hicho wewe huwezi kuona maana uko huko unakula nyama za nguruwe kila siku. Wananchi wa Gaza wao ndiyo mziki wanaupata vizuri sana!!
Pia wamefanikiwa kuwapa Palestinians sauti duniani wasikilizwe tofauti na mwanzoni, hii imeibua mijadala mipya kuhusu ukoloni na haki za binadamu.

Yote hayo kutokea gharama kubwa ya damu ya wapalestina imetumika...

yote na yote walichofanya Hamas Oct 7 haikuwa sahihi, walitumia zaidi hisia kuliko akili, lakini pia siwalaumu kwa sababu nao ni wanadamu, wanahisi uchungu na hawapendi kunyanyaswa... hata katika maisha yetu ya kawaida hasa kwenye mahusiano kuna watu wanauana tena mauaji ya kikatili kutokana na usaliti, kudhalilishwa n.k

Hasira isiyodhibitiwa ni hatari na inaweza kugeuza mtu mzuri kuwa muuaji au mharibifu...
Imedhibitika wazi kuwa wapalestina hakuna anayewataka kwa dhati nchi zote za kiarabu hakuna hata nchi inayowataka vibaka hao.

Mpaka sasa wapalestina zaidi 135,000 wamepelekwa uhamishoni kupitia misri hakuna nchi hata moja ya kiarabu imechukua hii inaonyesha wanapendwa mdomoni tu lakini moyoni hawatakiwi kabisa bora wakafie mbali huko.
 
How about Africans who died during colonialialism, how about Congolese who are dying everyday like baboons, how about Sudanese, please don't cry like a baby pig
Those Africans are not Arabs/Muslims!!!!
 
Hamas imefanikiwa kuharibu uhusiano mzuri uliokuwepo kati ya Israel na mataifa mengine hasa ya kiarabu, hata nchi baadhi za Ulaya tumeona zikisikitishwa kwa kile Israel inafanya.. Maandamano makubwa yamefanyika kote duniani kuunga mkono Palestina, na baadhi ya nchi zimechukua hatua kama kusimamisha uhusiano wa kidiplomasia na Israel au kutoa wito wa kuipeleka Israel Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC).

Wamefanikiwa kuionyesha dunia Israel haitishi kijeshi kama watu walivyodhani mwanzoni..

Pia wamefanikiwa kuwapa Palestinians sauti duniani wasikilizwe tofauti na mwanzoni, hii imeibua mijadala mipya kuhusu ukoloni na haki za binadamu.

Yote hayo kutokea gharama kubwa ya damu ya wapalestina imetumika...

yote na yote walichofanya Hamas Oct 7 haikuwa sahihi, walitumia zaidi hisia kuliko akili, lakini pia siwalaumu kwa sababu nao ni wanadamu, wanahisi uchungu na hawapendi kunyanyaswa... hata katika maisha yetu ya kawaida hasa kwenye mahusiano kuna watu wanauana tena mauaji ya kikatili kutokana na usaliti, kudhalilishwa n.k

Hasira isiyodhibitiwa ni hatari na inaweza kugeuza mtu mzuri kuwa muuaji au mharibifu...
Kama mafanikio ya Hamas umeyaona.....haya bhana.
 
Masharti yapi? Ni nani walivunja ceasefire? Mateka si ilikubaliwa watarudishwa? Why myahudi mwenye asili ya Poland Benjamin Mileikowsky ambaye ni waziri mkuu wa dola ya kigaidi ya kivamizi ya kizayuni alikataa na analazimisha mashambulizi badala ya ceasefire ili mateka warudi?
Hiv unafikir ukishasema hivyo ndio atabadilika au
 
Back
Top Bottom