Mwakinyo aache kubebwa

Mwakinyo aache kubebwa

Shetemba

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2018
Posts
923
Reaction score
933
Namshauri AACHE Tabia yake ya kubebwa na marefa,,la iko siku atakuja fia ulingoni
Ndio maana anamkacha Twaha kiduku
Screenshot_20210904-142837.jpg
 
Mwakinyo Kupigana na kiduku ni ni sawa na kupanda ngazi anakaribia kutoka kwenye kwenye shimo lenye giza kali na lisilo na hewa alaf anarud tena shimon tena kisa anafata tochi mbovu
 
Mwakinyo Kupigana na kiduku ni ni sawa na kupanda ngazi anakaribia kutoka kwenye kwenye shimo lenye giza kali na lisilo na hewa alaf anarud tena shimon tena kisa unafata tochi mbovu
Aisee🤣🤣🤣
 
Mwamuzi alimaliza pambano mapema wakati jamaa angeweza kuendelea. Labda huko ndio kubebwa kwa Mwakinyo
 
Namshauri AACHE Tabia yake ya kubebwa na marefa,,la iko siku atakuja fia ulingoni
Ndio maana anamkacha Twaha kiduku View attachment 1923505

Mheshimiwa acha ujuaji na ushabiki maandazi! Unless otherwise utuambie ufahamu wako katika Boxing.

Isije ikawa hata maana tu ya TKO huijui!! Halafu unakuja na uzi wa malalamiko.
 
Mwamuzi alimaliza pambano mapema wakati jamaa angeweza kuendelea. Labda huko ndio kubebwa kwa Mwakinyo
Mkuu tuko pamoja yaani muamuzi alimaliza pambano mapema kijanja,, hila jamaa alikuwa anaweza kuendelea na mwisho angeweza shinda Kama yule rasi wa south,, alipigwa round zote lakini ya mwisho yule dogo nilimuonea huruma
 
'AACHE' kana kwamba yeye ndo anayeamua.! Chawa wa Kiduku mnateseka.
 
Mwakinyo Kupigana na kiduku ni ni sawa na kupanda ngazi anakaribia kutoka kwenye kwenye shimo lenye giza kali na lisilo na hewa alaf anarud tena shimon tena kisa anafata tochi mbovu
😹😹
 
Namshauri AACHE Tabia yake ya kubebwa na marefa,,la iko siku atakuja fia ulingoni
Ndio maana anamkacha Twaha kiduku View attachment 1923505
Kwa tunaoijua boxing, mwamuzi wa katikati ali-mess up kidogo. Maamuzi yake ya kumaliza pambano mapema vile, mmh, ni walakini. Indongo alionesha bado kuwa na uwezo wa kuendelea na pambano na hata kushinda, haiyumkiniki.
Mwamuzi yule mzee naweza sema alikatisha pambano prematurely. Pambano la Tony na Mahlangu linatupa mwanga kidogo kuhusiana na situation hii. Mahlangu alionekana kuzidiwa tangu round ya kwanza lakini mwamuzi hakukatisha pambano. Tukashuhudia aliyepigwa round zote ndiyo kampiga kwa KO mpinzani wake. Yeah, that's boxing. It's a fight or die game!
Kuna bout hupenda kuitazama titled "Greatest Comeback in boxing History" kati ya Diego Corrales dhidi ya Jose Luis Castillo. Mwamuzi kama wa jana angemaliza fight mapema kwa kumpatia Jose ushindi kwani mpinzani wake Diego alionekana wazi kuzidiwa na alikuwa ameumizwa hata hawezi kuona vizuri. Lakini, mnamo round ya mwisho, miraculously, Diego aliamka kutoka "ndotoni" (Twaha Kiduku) akaushangaza ulimwengu wa ndondi. Waamuzi wafuate sheria. Wataharibu ladha ya mchezo huu ambao umeanza kupendwa tena.
Hata hivyo, hongera sana Hassan. Ulicheza vizuri na ulionesha uwezo dhidi ya mpinzani wako. Naamini Mwalimu wako atafanya corrections kwenye maeneo machache kadhaa, ikiwemo, speed, feetwork, target, nk.
Naamini, una nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa dunia. Hongera sana.
 
Mnalazimisha apigane na twaha!
Wanapigania nani?gari crown

Mwakinyo professional boxer, anafanya mambo
Yake ki professional

Twaha ajitahidi kutafuta naye mapambano
Ya nje

Ova
 
Back
Top Bottom