Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee🤣🤣🤣Mwakinyo Kupigana na kiduku ni ni sawa na kupanda ngazi anakaribia kutoka kwenye kwenye shimo lenye giza kali na lisilo na hewa alaf anarud tena shimon tena kisa unafata tochi mbovu
Kwani Muamuzi wa kati alikua mtanzania!?Namshauri AACHE Tabia yake ya kubebwa na marefa,,la iko siku atakuja fia ulingoni
Ndio maana anamkacha Twaha kiduku View attachment 1923505
Namshauri AACHE Tabia yake ya kubebwa na marefa,,la iko siku atakuja fia ulingoni
Ndio maana anamkacha Twaha kiduku View attachment 1923505
Kwani sheria ya masumbwi inasemaje kwa bondia anaye shambuliwa kwa makonde mfululizo na kushindwa kujibu mashambulizi?Mwamuzi alimaliza pambano mapema wakati jamaa angeweza kuendelea. Labda huko ndio kubebwa kwa Mwakinyo
Mkuu tuko pamoja yaani muamuzi alimaliza pambano mapema kijanja,, hila jamaa alikuwa anaweza kuendelea na mwisho angeweza shinda Kama yule rasi wa south,, alipigwa round zote lakini ya mwisho yule dogo nilimuonea hurumaMwamuzi alimaliza pambano mapema wakati jamaa angeweza kuendelea. Labda huko ndio kubebwa kwa Mwakinyo
😹😹Mwakinyo Kupigana na kiduku ni ni sawa na kupanda ngazi anakaribia kutoka kwenye kwenye shimo lenye giza kali na lisilo na hewa alaf anarud tena shimon tena kisa anafata tochi mbovu
Kwa tunaoijua boxing, mwamuzi wa katikati ali-mess up kidogo. Maamuzi yake ya kumaliza pambano mapema vile, mmh, ni walakini. Indongo alionesha bado kuwa na uwezo wa kuendelea na pambano na hata kushinda, haiyumkiniki.Namshauri AACHE Tabia yake ya kubebwa na marefa,,la iko siku atakuja fia ulingoni
Ndio maana anamkacha Twaha kiduku View attachment 1923505