Nadhani hoja ya mleta mada iko hapa, badala ya kuanza kumsema vibaya Mwakinyo, basi tuangalie namna ya kumpandisha huyu kiduku na yeye apate dili mbali mbali kama za mwakinyo na sio kuanza kuchakarika kumshusha mwakinyo, wakati jamaa amehangaika kujenga jina kwa jasho na damu (hatukumfahamu hapo kabla)
Awe mbovu au sio mbovu iangaliwe namna ya kuendeleza kipaji chake na sio kumkandamiza, tuangalie namna ya kuinua wapiganaji wetu na sio kuanza kurumbana sisi kwa sisi.
Namini kwenye uwepo wa vipaji vingi Tanzania na sio uwepo wa kipaji Tanzania!