Mwakinyo anataka kutafunwa na zimwi limjualo

Mwakinyo anataka kutafunwa na zimwi limjualo

Michel Yombayomba ndio anastahili sanamu ya heshima
Kaleta gold medal ya olimpic hapa kwetu
Sina uhakika kama yupo hai au laaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mwakinyo sio bondia wala nini mapambano yote hapa bongo anabebwa mfilipino alishinda mu Argentina pambano limekatishwa tu ukiangalia walipomalizia walikuwa kwenye move jamaa hakuwa kashindwa Ila refa aliingilia kati mpaka kapigwa ngumi na akamaliza pambano mpaka yule mwenzie muargentina akawa haelewi anamuuliza refa vipi yani ni usanii tu hakuna kitu huyo mwakinyo anakuzwa tu Hana maajabu
Akipata nafasi anapiga ngumi hovyo hovyo bila Kueleweka hakujua anapiga wapi
Ni kama tu ngumi zisizo na skills
Na huko nje anakoshinda anabebwa na baba yako?
Roho za chuki tu zmewajaa.. Mpeleke babaako akawe mwamuzi basi ili mwakinyo asishinde.
 
Atapigwa huko nje,lakin mwakinyo hana uwezo wa kumpiga kiduku
Basi atakuwa mshirikina tu. Akitoka mizimu yake haipandi ndege. Kazi za ramli zina mipaka na kukunyima uhuru.

DAWA WAKAPIGANE NA MWAKINYO NJE. Ova
 
Hao bila mguu wa mtoto ni binadamu wa kawaida tu
Acha kulinga maigizo na mambo halisi.
Hakuna formula eti usipige chini ya mkanda au kupiga kisogo akiwa amegeuka.

Acha KABISA ni kuwa trained Partmachine. Only to kill
 
Na huko nje anakoshinda anabebwa na baba yako?
Roho za chuki tu zmewajaa.. Mpeleke babaako akawe mwamuzi basi ili mwakinyo asishinde.
Ukiongea na watu ongea kwa adabu basi usiongee kama una kipande cha mashine kwenye kalio sif*ri ma***ko Mimi
Mbupu za bibi yako shamba huko

Ibra tu ndiyo bondia smart bongo amna Cha kiduku,mbabe wala mwakinyo

Mwakinyo kushinda juzi siyo kigezo cha ubora hana maajabu mna muover rate tu

Bongo Usanii tu kwenye michezo hamna cha maana mpaka michezo inapoteza mvuto angalau juzi walikuja wenye akili kusimamia mapambano
 
Ibra juzi ameshinda kwa nini??
Tatzo watu kama ww wenye roho za kwanini ndio kazi yenu kuwachukia watu wenye mafanikio..

Ibra ambaye mara zote anashinda kwa point unamfananisha na mwakinyo??!

Mwakinyo kaanzia kushinda nje ya nchi hii akiwa peke yake bila ya hata mashabiki maana alikuwa hajulikani, ameenda kushinda pambano kenya halafu nguruwe pori mmoja kama ww unakuja na hila zako za kichawi hapa
 
Back
Top Bottom