mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Anafananisha RTD na TKO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]HAPANA[emoji1][emoji1], hiyo sio maana ya TKO
Yupo hai, anaishi songeaMichel Yombayomba ndio anastahili sanamu ya heshima
Kaleta gold medal ya olimpic hapa kwetu
Sina uhakika kama yupo hai au laaa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Michael Yombayomba alishafariki. Na medali yake haikuwa ya Olympic bali ya CommonwealthYupo hai, anaishi songea
Michel ni marehemu mda sana mkuuYupo hai, anaishi songea
Asante Mkuu nimemfananisha ya Yule Yomba² Mchezaji Wa zamani Wa Team ya NjombeMichel ni marehemu mda sana mkuu
Unga ulichangia kumaliza kipaji murua
Na huko nje anakoshinda anabebwa na baba yako?Mwakinyo sio bondia wala nini mapambano yote hapa bongo anabebwa mfilipino alishinda mu Argentina pambano limekatishwa tu ukiangalia walipomalizia walikuwa kwenye move jamaa hakuwa kashindwa Ila refa aliingilia kati mpaka kapigwa ngumi na akamaliza pambano mpaka yule mwenzie muargentina akawa haelewi anamuuliza refa vipi yani ni usanii tu hakuna kitu huyo mwakinyo anakuzwa tu Hana maajabu
Akipata nafasi anapiga ngumi hovyo hovyo bila Kueleweka hakujua anapiga wapi
Ni kama tu ngumi zisizo na skills
Basi atakuwa mshirikina tu. Akitoka mizimu yake haipandi ndege. Kazi za ramli zina mipaka na kukunyima uhuru.Atapigwa huko nje,lakin mwakinyo hana uwezo wa kumpiga kiduku
Acha kulinga maigizo na mambo halisi.Hao bila mguu wa mtoto ni binadamu wa kawaida tu
Mimi binafsi naomba msemaji wa Simba Manara ajengewe sanamu
Afrika ya Viwanda na Matokeo chanyaMwajinyo ni shujaa wa afrika mpya
Ukiongea na watu ongea kwa adabu basi usiongee kama una kipande cha mashine kwenye kalio sif*ri ma***ko MimiNa huko nje anakoshinda anabebwa na baba yako?
Roho za chuki tu zmewajaa.. Mpeleke babaako akawe mwamuzi basi ili mwakinyo asishinde.
Ibra juzi ameshinda kwa nini??Ukiongea na watu ongea kwa adabu basi usiongee kama una kipande cha mashine kwenye kalio sif*ri ma***ko Mimi
Mbupu za bibi yako shamba huko
Ibra tu ndiyo bondia smart bongo amna Cha kiduku,mbabe wala mwakinyo
Mwakinyo kushinda juzi siyo kigezo cha ubora hana maajabu mna muover rate tu
Bongo Usanii tu kwenye michezo hamna cha maana mpaka michezo inapoteza mvuto angalau juzi walikuja wenye akili kusimamia mapambano