Mwakinyo Asaini Mkataba wa Tsh. 232m Marekani, mwenyewe afungua

wadigo na watu wa Tanga kwa ujumla wana vipaji kila kona wapo duniani ndo ukweli mtupu ngoja wenye meno ya kuoza na wapagani waje kukosoa
 
huu utaingizwa ngoja awe famous sana afikishe hata million 1 follower kule insta
 
Watanzania tunapenda kujadili uzushi na umbea. Yaani hili ni sawa na kusema Vibertz amesaini mkataba wa milioni 50 na kampuni ya Xyz iliyopo nchini Ukraine halafu source ya taarifa ni rafiki wa karibu wa vibertz. Aisee habari za namna zinapatikana kwetu tz
 
Hiyo 232 million ni kwa mwaka? Siyo hela nyingi. Ni approximately $90000 ambayo ni $7500 kwa mwezi. Bado kodi na living expenses. He needs to be advised.
Ibra Classic akihojiwa Azam alisema alipokuwa Marekani alipata pambano tena ya kwenye utangulizi, makubaliano ni 20,000 ila baada ya kodi kukatwa halali yake akabaliwa na $6000.

Kwahiyo kwa bondia wetu wakienda nje hela wanayopata ni sawa na crown ya Twaha Kiduku tu,wasimcheke sana Twaha
 
Hata picha akisaini mkataba hamna
 
Hiyo 232 million ni kwa mwaka? Siyo hela nyingi. Ni approximately $90000 ambayo ni $7500 kwa mwezi. Bado kodi na living expenses. He needs to be advised.
Huwezi kufananisha na gx 100 wanazo pewa bongo........ukizeeka hata gari uikuti huku ushakuwa kichaa na parksons ina kuhusu + Huna hata mia
 
Kwahiyo alikaa V8 na 170 millions za kupigana na Kiduku akapokonywa mikanda alafu Leo wameamua kuja na hii 235 Millions Hakika watanzania tuna safari ndefu sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo 232 million ni kwa mwaka? Siyo hela nyingi. Ni approximately $90000 ambayo ni $7500 kwa mwezi. Bado kodi na living expenses. He needs to be advised.
Hela kiduchu sana hiyo.........
mwkinyo ana deserve more than that ni bondia mzuri sana
 
Pigana uufute umaskini kwenye maisha yako, damu yako na ukoo wako, ukifanikiwa , hutokua na mawazo ya namna hii.
Unadhani kila mtu ni masikini kama wewe Sisi ni walipa Kodi na wadau wakubwa wa maendeleo wa Nchi hii angalia jina hili unadhani Mimi ni Mtoto wa Mnyonge kama Mwakinyo Hadi apigwe ngumi ndio apate Kula!!....
 
We mkunduh nini, nmekuuliza una shilingi ngapi kwenye akaunti yako mana umesema mwakinyo hana ubavu wa kupewa hizo pesa, kwamba ni muimba taarabu, ndio nakuuliza wewe una kias gani
Unadhani wote humu ni masikini kama wewe hebu kuwa na heshima tena uache kutukana watu hovyo wanapotoa mawazo Yao!!....
 
Unadhani kila mtu ni masikini kama wewe Sisi ni walipa Kodi na wadau wakubwa wa maendeleo wa Nchi hii angalia jina hili unadhani Mimi ni Mtoto wa Mnyonge kama Mwakinyo Hadi apigwe ngumi ndio apate Kula!!....
Maro si walevi tu na majizi ukoo wenu hakuna star kama mwakinyo kama unabisha taja mmjezana majizi tu na walevi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…