Mwakinyo Asaini Mkataba wa Tsh. 232m Marekani, mwenyewe afungua

Mwakinyo Asaini Mkataba wa Tsh. 232m Marekani, mwenyewe afungua

yeap kafika mbali kwa ngumi nenda kwao kaone wala hatumii ngumi kwa africa hana level yake ni namba moja kwa sasa nyie mna namba moja kwa upande upi kwa ulevi mmeshindwa na wajalau labda kuwa na meno ya kutu
Uzuri wetu Sisi tupo Wengi kwenye maendeleo ya Nchi hii Ndugu yangu kaa kimya Tu!!..
 
View attachment 2189555

Utajiri upi wa mirungi na kunya kweny migomba mlima haujamisaidia

Elimu ya vyeti feki angalia pato hapo mnashindwa na wakaa vibarazani wako mpaka nje wanawakilisha nchi nyie bila dhuluma ,kuua, biashara haramu hamtoboi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]na yule kiande wenu Arusha sasa mwanza ndo mtaiweza

Ndizi chakula Cha ngedere na nyani

Yale maji safi ya Kilimanjaro kwani hamunywi mpaka mnywe maji yana mikojo ya vyura meno yawe na kutu
Ndizi chakula cha Ngedele aisee wakati wenzako wanafanya Exports huko[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna mtu ana kunywa Maji machafu na kwasababu hujui serikali yako imeweka Maji Hadi vijijini kabisa na Kwa Taarifa Tu Moshi huko Vijijini hawana bill za MAJI (Free)...kama kwenu hamna pombe za asili hii ni mbaya zaidi?!!.. Kuhusu Meno hata wapo wasambaa na wadigo hata wabombei tunawajua wengi Wana Meno ya namna hii!!.. Anyway Kwa kukupa Taarifa Tu sio Wachagga Tu Wana Meno dizaini Ile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!..Nakuongezea na hii huko uchagani kila Kata kuna shule ya primary na secondary na kuna Umeme vijiji vyote!!..Kwa Faida Tu Mkoa wa Kilimanjaro ndio unaongoza kuwa na shule nyingi za serikali na Private tena hii iwe fundisho kwako Wachagga ndio wanaongoza kuwa na Private schools, Hospital hapa nchini!!!
Primitive bado mko enzi za mkoloni mtapika uchafu wanawake hawajui kupika shape za kabati
Sasa mnywe maji machafu Nan awalipishe na maji no ya ovyo 🤣🤣🤣

Njooni hapa smile dental magomeni msafishe meno kwa bima wanakubali🤣🤣🤣
 
Primitive bado mko enzi za mkoloni mtapika uchafu wanawake hawajui kupika shape za kabati
Sasa mnywe maji machafu Nan awalipishe na maji no ya ovyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Njooni hapa smile dental magomeni msafishe meno kwa bima wanakubali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha utateseka sana Ndugu yangu,Sisi tunajivunia kila kitu chem chem za maji na mvua za mara Kwa mara mlima Kilimanjaro,mbuga za wanyama,Bwawa, viwanda vya Sukari na pembejeo za kilimo na tuna zalisha umeme Ndugu yangu wewe kwenu mnazalisha nini?!!
 
Ndizi chakula cha Ngedele aisee wakati wenzako wanafanya Exports huko[emoji23][emoji23][emoji23]
wazungu wanalisha ngedere hizo sasa mbona hamna pato kubwa pamoja na madini sijui utalii 😆 😆 wakina mwakinyo masaa 24 wanacheza bao ila wamewapita then unataka kujifananisha na mwanza
arusha na mamijengo yote wazungu wote sometimes anakaa chini ya TANGA nyie porojo tu mkishalewa hamna msanii mkubwa,bondia,waigizaji , mcheza mpira kazi zenu za connection😀😀😀 tu

nimeeelewa kwan mlikuwa wengi kweny vyeti feki mpaka kumchukia bwana yule😆😆😆
 
Hahahaha utateseka sana Ndugu yangu,Sisi tunajivunia kila kitu chem chem za maji na mvua za mara Kwa mara mlima Kilimanjaro,mbuga za wanyama,Bwawa, viwanda vya Sukari na pembejeo za kilimo na tuna zalisha umeme Ndugu yangu wewe kwenu mnazalisha nini?!!
eti viwanda hata nusu ya viwanda vya tanga hamfikii maji ya bure ndo muoze meno
 
wazungu wanalisha ndegere hizo sasa mbona hamna pato kubwa pamoja na madini sijui utalii [emoji38] [emoji38] wakina mwakinyo masaa 24 wanacheza bao ila wamewapita then unataka kujifananisha na mwanza
arusha na mamijengo yote wazungu wote sometimes anakaa chini ya TANGA nyie porojo tu mkishalewa hamna msanii mkubwa,bondia,waigizaji , mcheza mpira kazi zenu za connection😀😀😀 tu

nimeeelewa kwan mlikuwa wengi kweny vyeti feki mpaka kumchukia bwana yule[emoji38][emoji38][emoji38]
Wewe hata hujui unaongelea nini Wewe Sisi tunafanya Exports ya maua,mboga,Ndizi haya kuna utalii mkubwa hivi nchi hii kuna sehemu serikali imepeleka maendeleo kuzidi Moshi/Kilimanjaro?
 
eti viwanda hata nusu ya viwanda vya tanga hamfikii maji ya bure ndo muoze meno
Wenzako wanazalisha Sukari,Maji,soda,viberiti,Zama za kilimo,mbolea,Betri,kuna Chuo cha Urubani, kwenu Chuo ni cha kucheza Bao Tu[emoji23][emoji23]
 
Wewe hata hujui unaongelea nini Wewe Sisi tunafanya Exports ya maua,mboga,Ndizi haya kuna utalii mkubwa hivi nchi hii kuna sehemu serikali imepeleka maendeleo kuzidi Moshi/Kilimanjaro?
wachapa kazi si unadanganywa mkiwa kweny vilabu vya pombe hamna jipya mji umepauka kaeni kwa kutulia nyie nunueni mitihani iala mshindani ya IQ kubwa africa hakuna mtanzania kuna medali kama mbili kaangalie zinatoka wapi tatizo wezi wa mitihani , vyeti feki na magendo hamna jipya fedha haramu hazileti maendeleo ya kuonekana
 
Utasema yote Leo!!.. Kilimanjaro kuna kiwanda cha Cement na Nondo, wakati nyie mnakaa mnacheza Bao huko!!.. Kilimanjaro kuna Chuo kikuu cha wanamapori na kuna Chuo cha Urubani hii hukuwa kujua!!.. Kilimanjaro tuna best schools na Hospital kushinda Tanga hata ufauli unaonekana!!...
 
Wenzako wanazalisha Sukari,Maji,soda,viberiti,Zama za kilimo,mbolea,Betri,kuna Chuo cha Urubani, kwenu Chuo ni cha kucheza Bao Tu[emoji23][emoji23]
Rejea pato la taifa tanga mafuta ya kujipaka,cement,gypsum, kiwanda cha mbolea, ungwa ngano, sabuni foma, soda za healtho,kanga,kusindika matunda, mkonge, chai lushoto,

sijataja viwanda bubu kama tambi
 
haters wa mwakinyo mda huu.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
giphy.gif
😂
 
Utasema yote Leo!!.. Kilimanjaro kuna kiwanda cha Cement na Nondo, wakati nyie mnakaa mnacheza Bao huko!!.. Kilimanjaro kuna Chuo kikuu cha wanamapori na kuna Chuo cha Urubani hii hukuwa kujua!!.. Kilimanjaro tuna best schools na Hospital kushinda Tanga hata ufauli unaonekana!!...
ufaulu tuna pato kubwa kuzidi nyie walevi tuna uvuvi ,matunda sasa nyie maua mmekuwa nyuki na si ndo kile kimefungwa kinadaiwa hamlipwei mkalewe

onyesha maendeleo ya ufaulu wenu ugunguzi nyie mnaiba mitihani tu ndo maana hamna maendeleo kushinda kweny migomba kama wale nyoka wa kijani😀😀😀
 
Kumbe unaongelea ustar [emoji23][emoji23][emoji23] aisee haya Endelea!!..Ustar unatakiwa uwe na fedha Ndugu yangu!!..Ukiwa na maneno maneno kesho utakuja hapa tumchangie Mwakinyo kichwa kimevuligika baada ya mangumi mazito kupiga kichwa!!..
Dudu baya ni star but maisha yake yanasikitisha sana, ustar bila maisha ni nonsense, kuna mzee mmoja hapo kariakoo niwakutoka kaskazini sio star but account yake inasoma bil 46. Tutafute pesa wazee, hao mastaa wa kike wanatoa hadi ndogo kwa wenyepesa, serikali ilinde kazi na haki za wasanii na wanamichezo ili jasho lao liwanufaishe,wao pia waajiri au wawe na financial advisors pindi wanapokua kwenye peak wawekeze kwa ajili ya future yao na familia zao.
 
hana mwizi huyo wa magendo hana pesa ya kumfikia mwakinyo ukoo wao wote
Nimecheka sana tena sana!!..Huyu Mwakinyo huyu huyu ambae anapigwa ngumi ndio apate fedha za Data kweli?!!..Ndio aje kufananishwa na familia ya Joseph merinyo Maro
 
Nimecheka sana tena sana!!..Huyu Mwakinyo huyu huyu ambae anapigwa ngumi ndio apate fedha za Data kweli?!!..Ndio aje kufananishwa na familia ya Joseph merinyo Maro
nyie muuze bangi ndo mpate pesa na madawa muue tena wanawake ndo mpate pesa mutumie veti feki ndo mapte pesa maendeleo hamna kamkoa kadogo hadhi ya jiji bado sana 😆 😆 😆 mwakinyo ni fame hatumii ngumi anapigana kumpumzika we mshamba

angalia wakina mywaerther wa wapi we umeajiriwa unapiga kelele
 
Back
Top Bottom