Francis fares Maro
JF-Expert Member
- Jun 20, 2021
- 1,227
- 1,339
Anyway wewe utakimbia wewe lakini ukweli ni Mwalimu Mzuri sana!!!..Kijana wako kashanyanganywa mikanda 2 na bado atakaa bench Kwa muda mrefu hadi apate pambano kwahiyo ni hasara Kwa biashara yake ya kupigwa ngumi apate Kula italeta shida kesho!!!.. Kwasababu hakuna source ya uhakika na habari ya hizo million mia mbili na kadhaa!!.. Ameamua kudanganya Kwa maslahi yake na wewe!!!maendeleo yako wapi tanga ni namba moja kwa viwanda Tanzania mfuate mzee wako muulize