Rekodi ya muargentina inaonesha mechi zake 4 zilizopita kapoteza, ni wazi anatafuta pensheni ya kustaafiaHuyu refa katoka WBF angekuwa mbongo ningechangia mada
Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa boxing, huyu Paz kwenye mtandao wa Boxrec anaonekana yuko nafasi ya 97 duniani kwenye uzito wake. Twaha Kiduku baada ya pambano lake la majuzi wakiupdate info zake atakuwa kwenye 50 bora katika uzito wake.Angalia rekodi ya hao unaowaita walevi aisee, hawa jamaa ni wakali ila mbele ya mtu mweusi wanashindwa kutamba
Kma Mwakinyo anawaokota, basi naye Kiduku atafute mtu wa nje amuokote ampigeRekodi ya muargentina inaonesha mechi zake 4 zilizopita kapoteza, ni wazi anatafuta pensheni ya kustaafiaView attachment 1625971
Yes, interview imejaa maneno ya kangaLeo amepaform vizuri since pambano lake lilipompa kiki VS Sam Eggington kule England, sema interview bado hajui kufanya Hassan anadharau kidogo
Sasa hivi Kiduku ni wangapi?Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa boxing, huyu Paz kwenye mtandao wa Boxrec anaonekana yuko nafasi ya 97 duniani kwenye uzito wake. Twaha Kiduku baada ya pambano lake la majuzi wakiupdate info zake atakuwa kwenye 50 bora katika uzito wake. Na nikiangalia mabondia wote aliopigana nao Mwakinyo baada ya ule ushindi dhidi ya muingereza hakuna hata mmoja ambaye ni top 90, wote wanachezea namba mia na kitu, atleast huyu wa leo yupo kwenye top 100
Kwahiyo hukuona pambano la Kiduku na mtu wa nje mwezi uliopita?[emoji44]Kma Mwakinyo anawaokota, basi naye Kiduku atafute mtu wa nje amuokote ampige
Hawajaupdate, ila kwenye Ranking yuko juu sana kuliko wapinzani wa MwakinyoSasa hivi Kiduku ni wangapi?
Ishu kubwa kama Kiduku anataka jina asipigane na Mwakinyo aende kwa wajerumani huko wana rekodi zao kali tu
Yule mzee na huyu nani mwenye rekodi kali, tena alikuwa anafanya mixer comedy ulingoniKwahiyo hukuona pambano la Kiduku na mtu wa nje mwezi uliopita?[emoji44]
Yes, wote wanachukua mabondia wabovu wa nje ili waonekane bora. Ndio maana huwa namshangaa Mwakinyo anapomdharau Kiduku, wakati Kiduku ni bora sana kuliko hao mabondia wa nje anaopigana nao[emoji1][emoji1][emoji1]Yule mzee na huyu nani mwenye rekodi kali, tena alikuwa anafanya mixer comedy ulingoni
Ishu ni kuwa, hawana haja ya kutambishiana...majina yako nje, hasa kwa watashaYes, wote wanachukua mabondia wabovu wa nje ili waonekane bora. Ndio maana huwa namshangaa Mwakinyo anapomdharau Kiduku, wakati Kiduku ni bora sana kuliko hao mabondia wa nje anaopigana nao[emoji1][emoji1][emoji1]
Sawa hiyo, ndio point. Anachokosea Mwakinyo ni kumdharau Kiduku, mtu ambaye ni bora kuliko wapinzani wakeIshu ni kuwa, hawana haja ya kutambishiana...majina yako nje, hasa kwa watasha
Kwa hiyo kama ni jina Kiduku akajitafutie mtasha mwenye rekodi kama Sam ambaye alifanya Mwakinyo apate jina ghafla