Mwakinyo ashinda kwa TKO dhidi ya muargentina

Mwakinyo ashinda kwa TKO dhidi ya muargentina

Huyu refa katoka WBF angekuwa mbongo ningechangia mada
Rekodi ya muargentina inaonesha mechi zake 4 zilizopita kapoteza, ni wazi anatafuta pensheni ya kustaafia
Screenshot_20201110-073221_1604984360121.jpg
 
Angalia rekodi ya hao unaowaita walevi aisee, hawa jamaa ni wakali ila mbele ya mtu mweusi wanashindwa kutamba
Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa boxing, huyu Paz kwenye mtandao wa Boxrec anaonekana yuko nafasi ya 97 duniani kwenye uzito wake. Twaha Kiduku baada ya pambano lake la majuzi wakiupdate info zake atakuwa kwenye 50 bora katika uzito wake.

Na nikiangalia mabondia wote aliopigana nao Mwakinyo baada ya ule ushindi dhidi ya muingereza hakuna hata mmoja ambaye ni top 90, wote wanachezea namba mia na kitu, atleast huyu wa leo yupo kwenye top 100
 
Waache ujanja ujanja wamletee Mabondia wanaoeleweka sio. Hawa Mateja wauza unga.

Bondia kabisa anayejiamini avuke Mabara yote mpaka Africa halafu upigwe kiboya hivi.
 
Ila itaba kabebwa halikuwa sio wa kuzidiwa point moja yule
 
Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa boxing, huyu Paz kwenye mtandao wa Boxrec anaonekana yuko nafasi ya 97 duniani kwenye uzito wake. Twaha Kiduku baada ya pambano lake la majuzi wakiupdate info zake atakuwa kwenye 50 bora katika uzito wake. Na nikiangalia mabondia wote aliopigana nao Mwakinyo baada ya ule ushindi dhidi ya muingereza hakuna hata mmoja ambaye ni top 90, wote wanachezea namba mia na kitu, atleast huyu wa leo yupo kwenye top 100
Sasa hivi Kiduku ni wangapi?

Ishu kubwa kama Kiduku anataka jina asipigane na Mwakinyo aende kwa wajerumani huko wana rekodi zao kali tu
 
Sasa hivi Kiduku ni wangapi?

Ishu kubwa kama Kiduku anataka jina asipigane na Mwakinyo aende kwa wajerumani huko wana rekodi zao kali tu
Hawajaupdate, ila kwenye Ranking yuko juu sana kuliko wapinzani wa Mwakinyo
 
Anae chagua Bondia Wakupambana na Mwakinyo ni nani? Na Anazingatia nini? Sio Kila Mzungu ana Hela na Sio Kila Mzungu Ana Akilii [emoji23] Wasije wakawa wanaenda Mtaani huko wanatuokotea mtu mapambano 11 kapigwaa na Alikuwa mgonjwa katoka kupona wanampa Mwakinyoo ila Kiduku akimuomba Pambanoo oooo Ataharibu CV [emoji23][emoji23] Ila Ipo Siku Ukweli Utajulikana sisi Watanzania Ni WAzuri sana wa kujifariji na Kujiona Sisi ndio Sisi
 
Yes, wote wanachukua mabondia wabovu wa nje ili waonekane bora. Ndio maana huwa namshangaa Mwakinyo anapomdharau Kiduku, wakati Kiduku ni bora sana kuliko hao mabondia wa nje anaopigana nao[emoji1][emoji1][emoji1]
Ishu ni kuwa, hawana haja ya kutambishiana...majina yako nje, hasa kwa watasha

Kwa hiyo kama ni jina Kiduku akajitafutie mtasha mwenye rekodi kama Sam ambaye alifanya Mwakinyo apate jina ghafla
 
Mnaleta walima Mapapai mnatumbia ni Bondia.

CCM imeshawaharibu Watanzania kabisa ,Watanzania hawataki kushindana tena Mnaleta mtu ambaye ni muendesha Malori Argentina huko mnasema ni Bondia.
 
Ishu ni kuwa, hawana haja ya kutambishiana...majina yako nje, hasa kwa watasha

Kwa hiyo kama ni jina Kiduku akajitafutie mtasha mwenye rekodi kama Sam ambaye alifanya Mwakinyo apate jina ghafla
Sawa hiyo, ndio point. Anachokosea Mwakinyo ni kumdharau Kiduku, mtu ambaye ni bora kuliko wapinzani wake
 
Back
Top Bottom