Halafu lile pambano la Sam Eggington ilikuwa bahati tu kulipata, tusimpe sifa sana Mwakinyo kwamba alilitafuta. Ilitokea mpinzani wa Sam alipata dharura so Mwakinyo akabahatika kuwa replacement, na ndipo alipotoboleaIshu ni kuwa, hawana haja ya kutambishiana...majina yako nje, hasa kwa watasha
Kwa hiyo kama ni jina Kiduku akajitafutie mtasha mwenye rekodi kama Sam ambaye alifanya Mwakinyo apate jina ghafla
[emoji23][emoji23][emoji23] daa wabongo sijui tunataka nini angepigwa tungesema mengineUhuni Uhuni Uhuni.
Tusidanganyane
Hakuna Bondia wa maana au Mwenye akili zake timamu kichwani Aje apigane Tanzania tena na BondiΓ wa Mtanzania HAYUPO.
Wamemuokota Mzungu Kariakoo wakamvalisha T shirt ya WBF ili aonekane ni Rais wa WBF.
Waache kumtengenezea Rekodi za ujanja ujanja kwa kumtafutia Mabondia wa ovyo ovyo.[emoji23][emoji23][emoji23] daa wabongo sijui tunataka nini angepigwa tungesema mengine
Sawa ambarutiWaache kumtengenezea Rekodi za ujanja ujanja kwa kumtafutia Mabondia wa ovyo ovyo.
Mnaleta walima Mapapai mnatumbia ni Bondia.
CCM imeshawaharibu Watanzania kabisa ,Watanzania hawataki kushindana tena Mnaleta mtu ambaye ni muendesha Malori Argentina huko mnasema ni Bondia.
Twaha kiduku mzee wa nako za standard Gej πππKwa style ya Kiduku, simwoni Mwakinyo akimpiga ni lazima itampa tabu
Wabongo walitaka apigwe ili wamuone mtori πMtu kashinda tena round ya nne tu bado watu mnamponda mwakinyo
hao ni machizi achana naoMwakinyo kashinda kwa TKO....( Tunasema bondia mbovu).
Akishinda kwa point (Tunasema kabebwa)...
Ushauri wa MatumlaMwakinyo kabadilika sanaaa kwenye hii game sanaaa... hongera sana kwa makocha wamembadilisha sana
Mtu kashinda tena round ya nne tu bado watu mnamponda mwakinyo
Hili anatakiwa afundishweLeo amepaform vizuri since pambano lake lilipompa kiki VS Sam Eggington kule England, sema interview bado hajui kufanya Hassan anadharau kidogo
Nafikiri watu hawampendi Mwakinyo kwa sababu ya dharau zake.Hao mafundi welding anaopigana nao ...!? Aende Moro tu hapo kwa Kiduku mbona anamgwaya.