Mwakinyo ashinda kwa TKO dhidi ya muargentina

Mwakinyo ashinda kwa TKO dhidi ya muargentina

Ishu ni kuwa, hawana haja ya kutambishiana...majina yako nje, hasa kwa watasha

Kwa hiyo kama ni jina Kiduku akajitafutie mtasha mwenye rekodi kama Sam ambaye alifanya Mwakinyo apate jina ghafla
Halafu lile pambano la Sam Eggington ilikuwa bahati tu kulipata, tusimpe sifa sana Mwakinyo kwamba alilitafuta. Ilitokea mpinzani wa Sam alipata dharura so Mwakinyo akabahatika kuwa replacement, na ndipo alipotobolea
 
Uhuni Uhuni Uhuni.

Tusidanganyane

Hakuna Bondia wa maana au Mwenye akili zake timamu kichwani Aje apigane Tanzania tena na Bondià wa Mtanzania HAYUPO.

Wamemuokota Mzungu Kariakoo wakamvalisha T shirt ya WBF ili aonekane ni Rais wa WBF.
 
Uhuni Uhuni Uhuni.

Tusidanganyane

Hakuna Bondia wa maana au Mwenye akili zake timamu kichwani Aje apigane Tanzania tena na Bondià wa Mtanzania HAYUPO.

Wamemuokota Mzungu Kariakoo wakamvalisha T shirt ya WBF ili aonekane ni Rais wa WBF.
[emoji23][emoji23][emoji23] daa wabongo sijui tunataka nini angepigwa tungesema mengine
 
Kwakweli hakukuwa na mechi hapo! Kwanza huyo jamaa ana mabua kwenye mbavu! Mapambano yake mawili yaliyopita, yote amepigwa body punch kwenye mbavu akakaa! Kama ilivyokuwa leo, Ilikuwa inajulikana tu Mwakinyo akifikisha ngumi kwenye mbavu basi mchezo umeisha! Na kweli,baada ya ngumi hiyo na jamaa kukaa basi akawa amelegea kama nyanya!
 
Mwakinyo kashinda kwa TKO....(Tunasema bondia mbovu).

Akishinda kwa point (Tunasema kabebwa).

Sisi hatueleweki tunataka nn.

Huyu bondia ni wa 97 kama sio 98 duniani, Unadhani alifikaje hapo alipofika kama sio bora?

Amepoteza michezo minne mfululizo kabla ya huu, lakini bado alikuwa hapo kwenye 98 ( Ukipoteza kawaida unashuka nafasi nyingi tu,

asa yeye kashuka Mara nne, je alikuwa wapi mwanzo?).

Mwakinyo amekuwa bora, mpinzani wake sio mbovu kama watu mnavyotuaminisha.


Japo kweli sio bora Sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] daa wabongo sijui tunataka nini angepigwa tungesema mengine
Waache kumtengenezea Rekodi za ujanja ujanja kwa kumtafutia Mabondia wa ovyo ovyo.
 
Leo amepaform vizuri since pambano lake lilipompa kiki VS Sam Eggington kule England, sema interview bado hajui kufanya Hassan anadharau kidogo
Hili anatakiwa afundishwe
 
Back
Top Bottom