OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
pambano la Zulfa Macho na mzambia,kocha mzambia anadai kuna upendeleo. sio kweli Zulfa kashinda kihalali,yule mzambia hakupitisha ngumi nyingi kama Zulfa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira ndio upoo?Bongo hakuna ngumi ni maujinga tu
Porno kama AskofuMpira ndio upoo?
Kusifu na kuabudu ndio maisha yetu kwa sasa,mitano tenaaaaaaaaaaa.Ahmed Ali analeta ukada,mara Magufuli mara nini. atangaze ngumi aache ukada
Dah aisee nimepita hapo muda si mrefu, niko DownTown hapaNafuatilia nikiwa kona ya Kilakakala, BEER O'CLOCK
Twaha mtoto wa Nyumbani ila sitamani apambane na Mwakinyongoja nitafute hela niwe sponsor wa game ya Twaha Kiduku Vs Mwakinyo,naona kuna midomo inaendelea
Zulfa tumempa tu alikuwa anatembea kama anaenda sokoni anampa kisogo, footwork mbovu,pambano la Zulfa Macho na mzambia,kocha mzambia anadai kuna upendeleo. sio kweli Zulfa kashinda kihalali,yule mzambia hakupitisha ngumi nyingi kama Zulfa
Kapigane wewe basiBongo hakuna ngumi ni maujinga tu
Hujui ngumi bro. Ngumi za Zulfa alikuwa ana score.Zulfa tumempa tu alikuwa anatembea kama anaenda sokoni anampa kisogo, footwork mbovu,
Yule mzambia ana punch nzito halafu anavumilia sana makonde
Daah! Schoolmate wangu huyo, utanipa tokeo nipo ughaibuni hukuHuyu Hussein itaba anapigwa k.o haki raundi ya 4
Subiri,hii ni round #5Huyu Hussein itaba anapigwa k.o haki raundi ya 4
Ila ukifuatilia wachambuzi wa azam wamejaa mahabati na uchambuzi wao upo biasDaah! Schoolmate wangu huyo, utanipa tokeo nipo ughaibuni huku
Hana stance za kiubondia huyusubiri,hii ni round #5
Dah aisee nimepita hapo muda si mrefu, niko DownTown hapa