Mwakinyo ashinda kwa TKO dhidi ya muargentina

pambano la Zulfa Macho na mzambia,kocha mzambia anadai kuna upendeleo. sio kweli Zulfa kashinda kihalali,yule mzambia hakupitisha ngumi nyingi kama Zulfa
 
Zulfa tumempa tu alikuwa anatembea kama anaenda sokoni anampa kisogo, footwork mbovu,

Yule mzambia ana punch nzito halafu anavumilia sana makonde
 
Huyu Hussein itaba anapigwa k.o haki raundi ya 4
 
Back
Top Bottom