The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,117
- 7,899
Jamaa had guard yoyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli akipigwa mbogo hawaongeiIla ukifuatilia wachambuzi wa azam wamejaa mahabati na uchambuzi wao upo bias
Bado yuko fit, ninachoogopa Ni kupigwa KO yenyeweHuyu braza anayepigana na mkongo hii tayari ni TKO ila tunataka kumbeba
Mate wako anauliwa huku,haa haaDaah! Schoolmate wangu huyo, utanipa tokeo nipo ughaibuni huku
Umemuona ndugu yetu alivyochakazwa uso, ila tutampa ushindi,, kaanguka mara mbili, tuwe fair mkongo katupigaBado yuko fit, ninachoogopa Ni kupigwa KO yenyewe
Nimekuambia kuhusu Zulfa unaonekana kuwa mbishi, hii Itaba kachezea tuwe fair, mkongo mkaliHapa nitashuhudia usenge wa majaji. Itaba kadundwa
Wakimpa ushindi wakwetu Basi ngumi sitaziangalia tenaUmemuona ndugu yetu alivyochakazwa uso, ila tutampa ushindi,, kaanguka mara mbili, tuwe fair mkongo katupiga
Mimi pia aisee....leo ndio utakua mwishoWakimpa ushindi wakwetu Basi ngumi sitaziangalia tena
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Mkuu Zulfa kapiga, tukubaliane kutokukubalinaNimekuambia kuhusu Zulfa unaonekana kuwa mbishi, hii Itaba kachezea tuwe fair, mkongo mkali
Wanaugua uwendawazimu aisee...naona hata mfaume anakazia
Ngoma ilibidi iwe TKOAisee lakini Bado wamemuonea Sana mkongo eti majani wawili wote wanasema Ni sare[emoji848][emoji848] really
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Mpaka shemeji yako hapa kashangaaAisee lakini Bado wamemuonea Sana mkongo eti majani wawili wote wanasema Ni sare[emoji848][emoji848] really
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app