Natamani sana akipata pambano lingine huko nje ya nchi avunje frontal upper & Lower teeth ajue kabisa kuwa hana kiwango cha kucheza ngumi za kulipwa...Mwakinyo kapigwa live, najisikia aibu sana kwa upuuzi huu. Tumekuwa taifa la kupanga matokeo. Yule msauzi mwamuzi kamwokoa wakati anakwepa ngumi kama nne akiwa yuko fit bado.
Politics zimeingiaje hapo sasa...Dah! Ama kweli nazidi kuamini sisi ni manyani.
Hii si wazi Mwakinyo kala vitasa. Jaman jaman! Namna hii ndiyo maana hatufiki. Tunajitekenya na kucheka wenyewe.
Refer hata comments za commentators; Jimmy Kabwe na Matumla, wametoa kasoro za wazi kabisa kwa Mwakinyo. Politics ni tatizo Afrika. Shithole humans!
Kwa hasira au kwa pesa ? Pesa ndo inanunua kvant, ebu mshauri jamaaHahaha!
Mwakinyo tena kashinda??Eti kashinda Mwakinyo[emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa mimi kuniambia mwakinyo kapigwa no, labda mseme ni sare ila mfilipino karusha ngumi nyingi lakini zilizompata barabara ni chache, mwakinyo karusha chache lkn nyingi kati ya hizo chache zimempata baraabara....Sijaelewa kabisa ila nimeona kama Tinampay kashinda, mchezo wa ndondi siuelewi kabisa.
Hahah kwa ule mwili wa steve inaweza ikawa ni sawa na buldoza.Niliona tangazo moja eti stive nyerere anasema ngumi moja ya huyo Mwakinyo ni sawa na fuso 4 za mchanga, nikasema mhhhhh!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ccm inatakiwa sasa ijifunze na kufix game za timu yetu ya taifa
Waandae pambano la mwakinyo na kiduku
Mbebee juice ya limao na tangawizi, mpaka chumvi na pilipili sehem zilizovimba alafu mwache dawa zifanye kaziHapo jamaa aliona hiyo mikamba ndio usalama wake
Ila esho naenda kariakoo ntapitia pale amana kumcheki
Yamkini, maana hakuna kisichowezekana chini ya jua
Yani kama gemu la leo mwakinyo katangazwa kua bingwaBOXING haina ujanja ujanja ipo ataingia kwenye 18 za mtu mtamtoa ulingoni na machela,Mchezaji hata pumzi hana utambeba mpaka lini.
Usiongeze moja, ongeza 10 bili kwangu!Acheni ukumanina wote mnaomponda mwakinyo. Siku zote tulikuwa tunalalamika kwa Nini Tz hatufanyi fitna wageni hapa wakati wao kwao wanafatufanyia fitna. Acheni hizo bana. Kwa hasira naongeza kvant
Mbebee juice ya limao na tangawizi, mpaka chumvi na pilipili sehem zilizovimba alafu mwache dawa zifanye kazi
Achukue za kasejaJamaa anasingizia groves