Mwakinyo ashinda pambano lake dhidi ya Tinampay

Mwakinyo ashinda pambano lake dhidi ya Tinampay

Mwakinyo kapigwa live, najisikia aibu sana kwa upuuzi huu. Tumekuwa taifa la kupanga matokeo. Yule msauzi mwamuzi kamwokoa wakati anakwepa ngumi kama nne akiwa yuko fit bado.
Natamani sana akipata pambano lingine huko nje ya nchi avunje frontal upper & Lower teeth ajue kabisa kuwa hana kiwango cha kucheza ngumi za kulipwa...

Huyu bwana kwenye ngumi bado ni mbichi yupo uchi kabisa akikutana na wajanja anaweza fia uwanjani...
 
Dah! Ama kweli nazidi kuamini sisi ni manyani.
Hii si wazi Mwakinyo kala vitasa. Jaman jaman! Namna hii ndiyo maana hatufiki. Tunajitekenya na kucheka wenyewe.
Refer hata comments za commentators; Jimmy Kabwe na Matumla, wametoa kasoro za wazi kabisa kwa Mwakinyo. Politics ni tatizo Afrika. Shithole humans!
Politics zimeingiaje hapo sasa...
 
Sijaelewa kabisa ila nimeona kama Tinampay kashinda, mchezo wa ndondi siuelewi kabisa.
Kwa mimi kuniambia mwakinyo kapigwa no, labda mseme ni sare ila mfilipino karusha ngumi nyingi lakini zilizompata barabara ni chache, mwakinyo karusha chache lkn nyingi kati ya hizo chache zimempata baraabara....
Kwa alieona pambano la myweather na parquao ataelewa hilo.. Parquao alirusha ngumi nyingi lkn hazikupata mpinzani vizuri.
 
Naunga mkono maneno ya mkuu wa mkoa Tanga
" kumshukuru Lahis awamu ya tano"
Kwa kuwezesha kushinda hasa ile raundi ya 5 Lahis alihusika sana zile cross combination
Kwakweli ushindi uu upatikane mtaa uitwe Mwakinyooo
 
Hapo jamaa aliona hiyo mikamba ndio usalama wake

Ila esho naenda kariakoo ntapitia pale amana kumcheki
Mbebee juice ya limao na tangawizi, mpaka chumvi na pilipili sehem zilizovimba alafu mwache dawa zifanye kazi
 
Acheni ukumanina wote mnaomponda mwakinyo. Siku zote tulikuwa tunalalamika kwa Nini Tz hatufanyi fitna wageni hapa wakati wao kwao wanafatufanyia fitna. Acheni hizo bana. Kwa hasira naongeza kvant
Usiongeze moja, ongeza 10 bili kwangu!
 
Back
Top Bottom