Moyibi
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 1,054
- 701
Natamani sana akipata pambano lingine huko nje ya nchi avunje frontal upper & Lower teeth ajue kabisa kuwa hana kiwango cha kucheza ngumi za kulipwa...Mwakinyo kapigwa live, najisikia aibu sana kwa upuuzi huu. Tumekuwa taifa la kupanga matokeo. Yule msauzi mwamuzi kamwokoa wakati anakwepa ngumi kama nne akiwa yuko fit bado.
Huyu bwana kwenye ngumi bado ni mbichi yupo uchi kabisa akikutana na wajanja anaweza fia uwanjani...