Kipenzi cha vijana(wahuni)wa Dar es Salaaam.Mfaumeeee anapigana na Kessy hili ndo pambano la mwisho kabla ya kuhitimisha usiku wa vitana kati ya Mwakinyo na Tarampei(mfilipino)
Hawa inabidi wapate rematch, mechi yao ilikuwa nzuri kuliko zote, also it was 50/50 fight. Kilichombeba Mfaume ni ile knockdownMatokeo ya hapa mshindi ni mfaume mfaume mfaumeeeeeee wa Dar Es saalaaaaaaaaaaaaam
MFALMEEEEEEEE!!!!
wamempendelea.Matokeo ya hapa mshindi ni mfaume mfaume mfaumeeeeeee wa Dar Es saalaaaaaaaaaaaaam
MFALMEEEEEEEE!!!!
wamempendelea.
Mpiga zumari wa umbea upo hadi kwenye ngumi?!wamempendelea.
Siasa tena. Eti Magufuli kafanya ngumi zitambulike. Wakati Mwakinyo alihangaika mwenyewe. Alivyoshinda U.K ndo kila mtu akamfahamu kupitia ile interview ya manager wake.
Hoja ile powerful punch nadhan ndio imembeba ila sare ingependeza sana
I need Kelly Brook[emoji38][emoji38][emoji38]Siasa tena. Eti Magufuli kafanya ngumi zitambulike. Wakati Mwakinyo alihangaika mwenyewe. Alivyoshinda U.K ndo kila mtu akamfahamu kupitia ile interview ya manager wake.
Hii kitu imewekwa siri. Maana bongo kelele nyingi. Utasikia ooohh jamaa kapunjwa!Kwan mwankinyo amelipwa kiasi gani hili pambano
Mi niko jukwaani wanaoangalia kwenye Tv watatuambiaVipi mpinzani wake kakubali?? Kwenye mahojiano..
Sasa huo ni mwanzo tu, wale wa tigo fiesta wajiandae.Vijana wa TMK kama kawa kuna mmoja hapa kajaribu kuiba amekula kichapo cha maana.