Mwakinyo ashinda pambano lake dhidi ya Tinampay

Mwakinyo amesindikizwa na Ney na Mzee wa mitulinga Profesa J mbunge wa Mikumi( Chadema.)
 
kwani si walisema kuingia ni free ama

haya poa tupe update
 
Huyuuuu MC wamemtoa Wapiii Hawezi hata kuamsha amshaa anatetemekaaa tuuuu!!!

Kalipooza Shindanooooooo na DJ sijui Wa Wapiii Huyuuuuu

Shindano Lazima liwe na Amsha Amshaa

MC kafeliiii
 
Technically hili pambano naliona kuwa gumu sana.Ila Mwakinyo hawezi kupigwa kwa knock out maaana ni mgumu
 
Azam sports 2 watakuwa LIVE kuanzia saa 12.30 lakini kuna mapambano ya Utangulizi km yote, Mwakinyo atakuja kupanda ulingoni saa 4.30
Baadhi ya Waswahili wana shida kwenye muda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…