dendaboy
JF-Expert Member
- Sep 15, 2016
- 1,085
- 742
kwa ninoMfilipino anataka kugoma kupiganaa [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa ninoMfilipino anataka kugoma kupiganaa [emoji3]
Kabisaaa. Tutammisi daima. MC wa leo bado sana. Uwezo wa chini sana.Hili pambano linaonyesha pengo la wazi la Kibonde kwenye eneo la uemcii.
Jamaa ana complain gloves, anataka zibadilishwe. Kagundua janja ya nyani.Hii nini mbona delaying?
Nini shida! Au anataka mzigo wake kabisa?
Watanzania walishaanza figisu [emoji23]Jamaa ana complain gloves, anataka zibadilishwe. Kagundua janja ya nyani.
Usikute wabongo washafanya hujuma[emoji38][emoji38]Jamaa ana complain gloves, anataka zibadilishwe. Kagundua janja ya nyani.
Yaani dah kaniangusha mpare Jay Msangi. Nilishamsifia lakini dah katia doa dosari ndogo imeshaharibu kila kitu.Pambano linaanza kuwa na dosari, sifa zote nilizompa Jay Msangi zitayeyuka, ndo nini sasa hii, gloves?[emoji44][emoji44][emoji44]
Mfilipino kazigomea wakati ashazivaa adi kafika ulingoni sasa angefanyaje?Wanazingua.. Sasa gloves zimefanyaje[emoji3][emoji3]
Mfilipino kazingua...Yaani dah kaniangusha mpare Jay Msangi. Nilishamsifia lakini dah katia doa dosari ndogo imeshaharibu kila kitu.
Mimi siki hizi nikiona comments kama hizi huwa nazijibu kwa kusisitiza watu weusi tuna shida sehemu. Kiwakilishi kimojawapo ni watz.Ujinga maandalizi ya hovyo , siasa , mc hovyoo Poor Tanzania
Karume pale wanauza used zenye nafuuGloves zimefuatwa na bodaboda manzese au[emoji23][emoji23]