Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Mbongo lazma apasuliwe...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania hatukusuburi tukamilike kutoka kwenye unyani.Kwa hiyo unataka kusema kuna wengine bado nyani ila tuko nao ?
Hili pambano lazima liishe kwa K.O maana wanatiana sana vitasa.
Usijali mkuu kuruka ruka kwa maharage ndo kuiva kwake.Majingaa hata hayapiganii, yanarukarukaa tu
Round ya ngapi ,NA nani anazidiwa
Ya 3...mwakinyo anadundwa sanaRound ya ngapi ,NA nani anazidiwa
Kwamba anadefence sioMwakinyo anacheza Kama Mayweather sasa
Viatu vya samaki hakika umenenaWatanzania hatukusuburi tukamilike kutoka kwenye unyani.
Kwa kuokoa muda si wangempa zile za kaseja tu?Gloves zimefuatwa na bodaboda manzese au[emoji23][emoji23]
Tuna usimamizi mbovu sana wa vitu. Yaani vyoo uwanja mzima vinaharibika hakuna hata fisi mmoja anayeshtuka kuwaambia wenzake.Viatu vya samaki hakika umenena
Wanatiana sana vitasa