google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
Kwa hiyo turudi burigi kwanzaWatanzania hatukusuburi tukamilike kutoka kwenye unyani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo turudi burigi kwanzaWatanzania hatukusuburi tukamilike kutoka kwenye unyani.
Posibility ya kupatikana K.O ni kubwa sana.MWAKINYO NI BORA AANGALIA ATACKING MENTALITY YALE MAPEMA, ANAWEZA AKAPIGWA KWA POINTS... TENA INAWEZA KUWA UNANIMOUSLY decided
Round ya 4Round ya ngapi sasa
Ndicho kinachotakiwa.Kwa hiyo turudi burigi kwanza
Round ya 4
Kumbe sio nyani tu mpaka fisii daaah hapo hakuna jema watakuta mpaka mavi kwenye vitiTuna usimamizi mbovu sana wa vitu. Yaani vyoo uwanja mzima vinaharibika hakuna hata fisi mmoja anayeshtuka kuwaambia wenzake.
50/50Nan anapelekwa sana
Hahahahaha nimependa hiyo ya kurudi kwanza burigiNdicho kinachotakiwa.
Duh![emoji23][emoji23][emoji23] Umeenda kuangalia ngumi zisizo na hasiraMajingaa hata hayapiganii, yanarukarukaa tu
Chonganisha, wape mchanga waputeMajingaa hata hayapiganii, yanarukarukaa tu