Kingkorlar
JF-Expert Member
- Oct 16, 2018
- 875
- 995
Huyu mbongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfilipino 70% Mwakinyo 30%Ngapi ngapi??
Mfilipino anacheza kama GGG.Mfilipino ana afadhali
Tuna ishukuru serikali ya awam ya tano kwa hiloMfilipino 70% Mwakinyo 30%
Mkeka umeliwa na mbuziNgapi ngapi??
Walibugi kumpa mfilipino alikasusu, hii imechangia kumfanya amzidi nguvu mwakinyoHapana penye ukweli lazma tuseme. Mwakinyo anashambuliwa mno, mwafrika gani anakimbia ngumi kishamba hivyo...
Anapoteza kwa point Mwakinyo
Nasubiria gemu iishe nimuone tena akijipeleka bungeniMammaye kweli nimeamini CCM ina nuksi. Wamemtia nuksi dogo.
Ila usipowashirkisha kwenye jambo lako napo utafnyiwa hila mpaka utajuta. arrrggh 😬😬😬😬
ONG BAKHuo ndo uchawi wa branding & marketing techniques kwa ujumla wake. Hizi jamii za wathailand, Philipinnes na Vietnam hatuwezi kushindana nao. Wako na fitness si ya kawaida.