Mwakinyo ashinda pambano lake dhidi ya Tinampay

Mwakinyo ashinda pambano lake dhidi ya Tinampay

Ushindi wa Mwakinyo ni sawa na uchaguzi wa serikali za mitaa! (CCM = Mwakinyo kapigwa hoi lakini kashinda! Afadhali Tanmpay angejitoa mapema! ahahahah)
 
Ngoja tusubiri joshua na chibonge wake ruiz, joshua ataweza kuirudisha mikanda yake desemba?
 
Acheni ukumanina wote mnaomponda mwakinyo. Siku zote tulikuwa tunalalamika kwa Nini Tz hatufanyi fitna wageni hapa wakati wao kwao wanafatufanyia fitna. Acheni hizo bana. Kwa hasira naongeza kvant
Nakumbuka cheka alipigana nje akawa anaongoza round 6 kati ya 8 akapigwa ngumi 4 za mfululizo refa akamaliza pambano wakati bado alikua fiti km yule msauth alivyofanyiwa figisu leo.
 
Natamani sana akipata pambano lingine huko nje ya nchi avunje frontal upper & Lower teeth ajue kabisa kuwa hana kiwango cha kucheza ngumi za kulipwa...

Huyu bwana kwenye ngumi bado ni mbichi yupo uchi kabisa akikutana na wajanja anaweza fia uwanjani...
Amdfikaje Hapo? Acha wivu wa kingethe
 
Back
Top Bottom