Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Hata mayweather mbona alipigwa na pacquiao.....MTU kwao buana..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata man paciao anadondoshwa na mwakinyo
Hahahaaha yani ni sawa na kucheza draft peke yako, halafu unajisifu kua unakiwangoUshindi huu ni sawa na ushindi wa CCM kwenye serikali za mitaa.
Jecha at work!JAJI Lubuva kafanya yake
HahahaaaaBOXING haina ujanja ujanja ipo ataingia kwenye 18 za mtu mtamtoa ulingoni na machela,Mchezaji hata pumzi hana utambeba mpaka lini.
Yeye mwenyewe hana furaha na ushindi wakeAibu nimeona Mimi..haihitaji rocket science kutambua Kama Mwakinyo kapigwa..huku kubebana ndio kunatugharimu Kama taifa..
Umesahau kuwa mimi ni popo? Huu ndio wakati wangu wa kujidai[emoji6]Hii ndio mida yako nini..umepotea sana wewe
Mpuuzi wewe. Fitna zipo kila sekta. Michezo, siasa, dini, elimu, familia nk. Wewe unafikiri mabeberu kukuzidi uchumi ni Nini Kama sio fitna. Mpuuzi kabisa weweHatutaki fitna
Wazee wa kuchakachua kama kawa wamehusika hapa.
Nakumbuka cheka alipigana nje akawa anaongoza round 6 kati ya 8 akapigwa ngumi 4 za mfululizo refa akamaliza pambano wakati bado alikua fiti km yule msauth alivyofanyiwa figisu leo.Acheni ukumanina wote mnaomponda mwakinyo. Siku zote tulikuwa tunalalamika kwa Nini Tz hatufanyi fitna wageni hapa wakati wao kwao wanafatufanyia fitna. Acheni hizo bana. Kwa hasira naongeza kvant
Amdfikaje Hapo? Acha wivu wa kingetheNatamani sana akipata pambano lingine huko nje ya nchi avunje frontal upper & Lower teeth ajue kabisa kuwa hana kiwango cha kucheza ngumi za kulipwa...
Huyu bwana kwenye ngumi bado ni mbichi yupo uchi kabisa akikutana na wajanja anaweza fia uwanjani...