OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Bondia ana hoja asikilizwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameongea vyema kabisa
usiombe masikin atoke kwenye umasikini utajuta.
Ila ndo haiwezekani lazima mmoja awe juu ya mwingineusiombe pia tajiri atoke kwenye utajiri, utajuta tena inakuwa mbaya zaidi.
Chamsingi Tuombeane kheri, Masikini wawe matajiri na matajiri wasiwe masikini.
Ila ndo haiwezekani lazima mmoja awe juu ya mwingine
Duuh yaani karne ya 21 unaongelea Habari ya kuombea umasikini mkuuyeye alivyokuwa masikini naye pia alikuwa na roho mbaya, ila leo sio masikini hana roho mbaya.
Maana yake hata wale masikini, wakipona kwenye umasikini maana yake watakuwa na roho nzuri tu.
tuwaombee InshaAllah masikini wote wauage umasikini.