Mwakyembe awatega wabunge CHADEMA, awaambia wakitaka ukweli warudishe hoja ya Richmond Bungeni

Mwakyembe awatega wabunge CHADEMA, awaambia wakitaka ukweli warudishe hoja ya Richmond Bungeni

Limalizwe kibunge wakati bunge lilishatoa maamuzi? Mpelekeni mahakamani.
Je, yale maamuzi ya bunge una yakaubali?

Kama una yakubali, ni vipi tena ukadeki barabara ili jamaa apite kwenda ukulu?
 
Kwani hawakuhoji? CHADEMA kwa muda wote walikuwa wanauliza inakuwaje watu wanafungwa kwa makosa madogo madogo wakati mtuhumiwa mkubwa wa ufajaji wa fedha za umma hafikishwi mahakamani. Huko siyo kuhoji?

Hoja ya Makonda imepanguliwaje? Kwamba Mwakyembe kasema kwamba Makonda hajavamia Clouds?
Teh, acha kujichanganya mkuu unajiabisha. Sasa ilikuwaje wampe tiketi ya kwenda ikulu huyo mtuhumiwa?

Huoni kama chadema hawajitambui?
 
kama ni kweli, basi kuna uwezekano Mwakyembe alitoa report ya uwongo na aliwadanganya watanzania. Kwanini aseme kma 'wanataka ukwei?' je hii haitafsiri ya kwamba huyu mh aliudanganya umma wa watanzania? achunguzwe upya kwanza
 
Ndiyo hao-hao kwanini yeye Mwakyembe mwenye ushahidi hajafanya hima hii kesi ya Richmond ipelekwe kwenye mahakama ya mafisadi mliyoipamba hadi kwenye ilani ya CCM??

Mtatumia majengo ya mahakama ya mafisadi kama stoo ya mkaa mpaka lini au mpaka mnyonyoke tena mpaka kope za macho???
Acheni kujificha kwenye hoja ya mahakama ya ufisadi, kama mna jeuri kweli leteni ile hoja si mnasema mwakyembe alidanganya?
 
Fumbo mfumbie mjinga mwerevu hung'amua.

Baadhi ya makamanda wa CHADEMA (hasa CHADEMA asilia) hawaitaki ndoa ya kisiasa kati ya Mbowe na Lowasa, sasa watoke vipi ni jinsi ya kuirudisha suala RICHMOND bungeni.

Mwakyembe naye kawatega waingie vichwa vichwa. Likiachwa kurudishwa bungeni, basi yatosha CHADEMA kuthibitishiwa kuwa waliyekuwa wakimtuhumu, kwenye majukwaa kuwa ni fisadi, kweli ni fisadi.

Hivyo hoja yao, ya kila siku kila akitajwa kuhusika na ufisadi, ati mwenye ushahidi atoe afikishwe mahakamani, haitakuwa na nguvu tena. Kwanza, kwa yeye kujiuzuru Uwaziri Mkuu, ilikuwa adhabu tosha kwa mtu mwenye uchu wa madaraka, kama yeye.
Nani huyo mwenye akili ya kumtega mtu?
 
Kama kuna siku mwakyembe kaongea pumba basi ni leo

Yani pumba first grade, yeye alisema report ya Nape haijakamilika kisa bashite hajaojiwa yet walifanya jitihada zote za kumtafuta ila aliwakimbia

Leo anasema report yake ya richmond ambayo alifunga safari hadi nje kwenda kutafuta ushahidi lakini alishindwa kumuhoji Lowassa aliyekuwa hapa ni kamili,na hakuona haja ya kumuhoji Lowassa

Seriously halmashauri ya kichwa chake sijui kama ipo sawa
Wewe ndugu acha kumtetea El
 
Ufisadi wa jpm ni upi?
JPM kauza nyumba za serikali kwa bei chee pamoja na kugawa nyumba za serikali kwa hawala zake. Kanunua kivuko kibovu kwa bei za kifisadi bilioni 8 ili hali report ya CAG bei yake ni chini ya bilioni 5. Ufisadi ktk wizara ya ujenzi kipindi yuko Waziri wa ujenzi
 
Ukiona mtu hana nyusi tambua pia hana haya!!!

Heshima yake inashuka kwa kasi ya kimwondo!!
Nyusi ziliondoka baada ya watubumiwa w richmond kumpa sumu!

Kumbuka pia kwamba walimmwagia Kubenea tindikali
 
Kha! Ndo mnamuita Dr huyo, mbona hoja zake hazina mashiko na hazistahili kuongelewa na mtu mwenye hadhi-cheti cha PHD achilia mbali nafasi aliyonayo ya uwaziri.

My take: Atumwe India kwa matibabu haraka sana, mana naona ile sumu imekula kaubongo kaliko kabakia kazima kale daaah
wakati ule akimuumiza Lowasa akiwa bado CCM kwako alikua na hoja lakini leo sababu ya mapenzi ya chama na si nchi unamuona Mwakyembe bomu. Watanzania lazima tutakua tumerogwa na mchawi wetu labda kishakufa.

Tukirudi nyuma wakati wa Richmond si ajabu tukaona wewe wa kwanza kumsifia Mwakyembe na kina Mbowe walikua mstari wambele leo wamekaa kimya. Na nina amini kama angekua bado CCM msingesema hivyo. Ukweli ni kwamba Lowasa ni fisadi maana amekaa kimya bila kutuambia kama yeye siye nani alimtuma?????
 
JPM kauza nyumba za serikali kwa bei chee pamoja na kugawa nyumba za serikali kwa hawala zake. Kanunua kivuko kibovu kwa bei za kifisadi bilioni 8 ili hali report ya CAG bei yake ni chini ya bilioni 5. Ufisadi ktk wizara ya ujenzi kipindi yuko Waziri wa ujenzi
hapo ni kweli na hiyo kesi itamkuta na Sumaye na yeye sijui mtamsafishaje. Ninyi watu mna matatizo gani mnadhani madongo wanayopigwa kina Sumaye kama wangekuwa wasafi wangekaa kimya?

Kama mnamtetea Lowasa ambaye aliyekua waziri mkuu, inakuwaje mmuandame waziri wa kawaida kwa maamuzi ya baraza Zima la mawaziri??? Tumieni akili mlizopewa na Mungu vizuri acheni unazi wa vyama..
 
Ana tofauti gani na aliyeikulu??Bilioni nane za Kivuko kibovu cha mwaka 1928,Barabara substandard, hotel aliyopewa kama.10% ya kutoa tender. Hahahahahaha msafi Malaika.tu lakini.siyo kwenye Chama Chetu Cha Mauaji
Kwa hivyo una kubaliana na mimi kwamba kwenye vyama vyetu hakuna msafi siyo?
 
Chadema wenzangu tuombe liludishwe jamani tupate ukweli
Nadhani wewe si CHADEMA kama kweli wewe ni mwanachadema basi wewe ni mzalendo wa kweli. hawawezi kulirudisha hilo maana wanamhitaji sana Lowasa mwaka 2020 kumuingiza tena huko wanatakua na kazi ya kumsafisha tena.
 
Ni upumbavu kusena Mwakiembe anakitu mbona katoa furusa kwa waropokaji wairudisheee? Chafya ya nini wakati mvua inanyeshaaa? Ebu kuweni wakubwa kiakili si kilakitu mnaponda tu. ANAYEJIAMINI ALETE HOJA MWAKIEMBE KASEMA ATAJIUZULI AYISHUNGULIKIE KIUAKIKA.
 
Back
Top Bottom