Mwakyembe awatega wabunge CHADEMA, awaambia wakitaka ukweli warudishe hoja ya Richmond Bungeni

Mwakyembe awatega wabunge CHADEMA, awaambia wakitaka ukweli warudishe hoja ya Richmond Bungeni

Duuh mpwa reli ya 1940?

Unategemea brand new??Unayakumbuka Mabehewa ya Mwakyembe?

Wenzetu train za Mwendokasi zimeanza baada ya vita kuu ya pili usishangae.

Hata ile.dream liner ni ya mwaka 2010 na bei ilikuwa $90M Leo tunaambiwa imenunuliwa kwa $211M,halafu tunadanganywa ati tunapiga na vita vya Rushwa na Ufisadi maweee.
 
Nani katika nduki??Wanajua hata wao ni mafisadi hakuna msafi hata JPM.naye ni jamaa wa madeal tu.
Kwahiyo nchi hii hakuna msafi wakiwemo chadema
 
Choo kilihamia chumbani

Nyumba za kisasa ni self contained maana yake.mpaka chooni lipo ndani.

Issue kama fisadi Peleka mahakamani,Bungeni hakuna hakimu.Kelele tu za.polium.
 
Awamu hii mwanasiasa gani fisadi umeona ameshtakiwa kwa ubadhirifu wa mali ya umma zaidi ya kuona mafisadi akina Mwakieembe na Muhongo yakiwa mawaziri badala ya kufikishwa mahakamani !
Si bora hawa ni mawziri wanaweza kutenguliwa kuliko yule mlietaka kumpa ikulu?
 
Dili ni la kikwete lowasa alikuwa pawn kama ambavyo professor muhongo alikuwa pawn kwenye ESCROW ssa nyie vibaraka mnashabikia tu na mnaaminishwa lowasa anaweza piga dili na kikwete asijue??? Mbona kwenye retreat ya CCM 2012 lowassa aliuliza je ni kipi alichofanya kwenye richmond asichokijua? What did he reply???kaulize

Kma it was that simple longtime magufuli au mwakyembe wangekwisha msweka ndani lowassa
Ndio maana nikasema jk na el wote wanahusika, lile ni dili la el na na jk. Hata hela mlizotumia kwenye kampeni 2015 zilikuwemo pia za richmond!
 
Si bora hawa ni mawziri wanaweza kutenguliwa kuliko yule mlietaka kumpa ikulu?

Ana tofauti gani na aliyeikulu??Bilioni nane za Kivuko kibovu cha mwaka 1928,Barabara substandard, hotel aliyopewa kama.10% ya kutoa tender. Hahahahahaha msafi Malaika.tu lakini.siyo kwenye Chama Chetu Cha Mauaji
 
Ha
Kha! Ndo mnamuita Dr huyo, mbona hoja zake hazina mashiko na hazistahili kuongelewa na mtu mwenye hadhi-cheti cha PHD achilia mbali nafasi aliyonayo ya uwaziri.

My take: Atumwe India kwa matibabu haraka sana, mana naona ile sumu imekula kaubongo kaliko kabakia kazima kale daaah
Haya assume alidanganya, lakini kwa sababu aliyetuhumiwa pamoja na waliomtuhumu bado wapo, kumaliza mzizi wa fitina ni chadema kulianzisha ili ukweli uthibitike. Hii itasaidia sana katika mambo mengi lakini pia hata wakati wa kampeni 2020.
 
Ndio maana nikasema jk na el wote wanahusika, lile ni dili la el na na jk. Hata hela mlizotumia kwenye kampeni 2015 zilikuwemo pia za richmond!

Ukiita Ufisadi hata JPM.haponi wote ni wale wale.
 
Ha

Haya assume alidanganya, lakini kwa sababu aliyetuhumiwa pamoja na waliomtuhumu bado wapo, kumaliza mzizi wa fitina ni chadema kulianzisha ili ukweli uthibitike. Hii itasaidia sana katika mambo mengi lakini pia hata wakati wa kampeni 2020.

Amejua kuna issues kwenye hiyo report ndiyo sababu wamekuwa mkali kama.pilipili Mbuzi.
 
Aache ujinga huyoooo,anajua haiwezekani kwa sasa sababu alie ibua hoja ya richmond ni Dr.mihogo,,,na sasa hayupo chadema bali kaamia ccm
 
Back
Top Bottom