Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cdm wametoka nduki kama trump
Huyu JPM ana usafi gani hadi usimuweke ktk orodha ya mafisadi?!
Awamu hii mwanasiasa gani fisadi umeona ameshtakiwa kwa ubadhirifu wa mali ya umma zaidi ya kuona mafisadi akina Mwakieembe na Muhongo yakiwa mawaziri badala ya kufikishwa mahakamani !Hivi wewe kuna fisadi gani aliwahi kukamatwa enzi za jk?
Wote tunajua Lowassa na jk wanahusika na richmond lkn chedema walitaka kupeleka fisadi ikulu
Dili ni la kikwete lowasa alikuwa pawn kama ambavyo professor muhongo alikuwa pawn kwenye ESCROW ssa nyie vibaraka mnashabikia tu na mnaaminishwa lowasa anaweza piga dili na kikwete asijue??? Mbona kwenye retreat ya CCM 2012 lowassa aliuliza je ni kipi alichofanya kwenye richmond asichokijua? What did he reply???kaulizeHivi wewe kuna fisadi gani aliwahi kukamatwa enzi za jk?
Wote tunajua Lowassa na jk wanahusika na richmond lkn chedema walitaka kupeleka fisadi ikulu
Mkuu una uhakika na unachokifiria, au unataka nikuPM academic certificates zangu!?Tanzania pekee ndo diploma holder na degree holder wana kiburi cha kutukana pHd holder ...mnataka msikie kitu mnachokipenda mazezeta akili zenu zipo matakoni hama.
Mnyika kakumbushia mwaka jana mwezi wa sita kwenye hotuba yake kma waziri kivuli ssa kma wanatetea richmond iweje kambi ya upinzani irudishe hoja hyo bungeni??? Kma wanajua mwisho wa siku lowassa ndio mhusika mkuu wanapata wapi confidence ya kurudisha hoja ile kupitia mnyika???Kwani ripoti ya Richmond imejadiliwa mwaka gani na Lowasa amekuja Chadema mwaka gani.?
Hahahaha imekula kwao walahi!Cdm wametoka nduki kama trump
Duuh mpwa reli ya 1940?Bilioni nane kivuko cha mwaka 1928,Kibovu hakifanyi kazi,Barabara substandard,Rushwa ya kujengewa vote maeneo ya Chato ah hahahaha Nina wasiwasi Reli yaweza kuwa ya mwaka 1940,ukishazoea kula nyama ya watu hauachi kamwe
Kwani nini hao wabunge wasihoji wakati huo kuhusu Lowasa kutohojiwa na kamati ya Mwakyembe wanakuja kuhoji leo baada ya Mwakyembe kupangua hoja ya Makonda.?Bunge lilitoa Mapendekezo na serikali haikuyatekeleza yote, na la pili ni kwamba wabunge wa sasa hawahoji suala la Richmond bali wanahoji weledi wa Mwakyembe pale anaposema hawezi kufanyia kazi Ripoti ya uchunguzi wa suala la kuvamiwa kwa Clouds kwa kuwa eti upande mwingine haujasilizwa, wakati yeye mwenyewe ana "Precedence" ya kutosikiliza upande wa pili!
Kwa sasa hili swala limeamushwa bungeni acha limalizwe kibunge bunge.... Kumbuka hata mahakama inasubiri ushauri wa bunge dhidi ya serikali...
Hapa ishu sio Lowasa ila ripoti ya kamati ya Mwakyembe.Mahakama ni.yenu huyo Lowassa ni nani?Mpelekeni Mahakamani basi.
Kwani hawakuhoji? CHADEMA kwa muda wote walikuwa wanauliza inakuwaje watu wanafungwa kwa makosa madogo madogo wakati mtuhumiwa mkubwa wa ufajaji wa fedha za umma hafikishwi mahakamani. Huko siyo kuhoji?Kwani nini hao wabunge wasihoji wakati huo kuhusu Lowasa kutohojiwa na kamati ya Mwakyembe wanakuja kuhoji leo baada ya Mwakyembe kupangua hoja ya Makonda.?
Hapo ndio utajua unafiki wa wanasiasa, wanakomaa na kitu kulinda malengo yao na sio uchungu kwa Taifa.!
Sasa ni mbunge gani mpuuzi anaehoji sasa maamuzi ambayo yalishajadiliwa na bunge na maazimio yakapitishwa.?Limalizwe kibunge wakati bunge lilishatoa maamuzi? Mpelekeni mahakamani.
Yaani full njaa+debe la ujinga. Mnafiki afadhali kidogo huwa ana twist mambo kwa faida yake.Ukitaka utukanwe humu jf, ligusie swala la RICHMOMD, DOWANS na MTUKUFU LOWASA. Siasa zetu zimejaa unafiki, upinzani kwa kipindi cha miaka nane walikuwa WANAICHUKIA NYAMA YA NGURUWE ALAFU MWISHO WA SIKU, WAKAAMUA WAUNYWE MCHUZI WAKE , kwa hiyo si shangai watu waliomtukana LOWASA kwa miaka nane na kwa vinywa vyao walisema walikuwa na ushahidi kwamba jamaa ni fisadi, bila kusahau series zile za Bw Kubenea na MWANAHALISI za kila siku kumchambua Lowasa juu ya ufisadi wa RICHMOMD na DOWANS na kama haitoshi akamtuhumu LOWASA na ROSTAM wanahusika ktk kumwekea sumu Mwakyembe , leo hii eti LOWASA mtakatifu si UNAFIKI huu. Wanasiasa wametugeuza kama SIGARA KALI, sijui wametuona sisi watoto wadogo, ila si shangai kwani hata huyu wanaemwita BASHITE, siku akiwa kwao watamwita KIJANA SHUJAA MH PAUL MAKONDA, ndio siasa zetu FULL UNAFIKI.
Sijui kwa nini unataka kuchanganya kwamba kuna mbunge kahoji maamuzi ya Bunge kuhusu sakata la Richmond.Sasa ni mbunge gani mpuuzi anaehoji sasa maamuzi ambayo yalishajadiliwa na bunge na maazimio yakapitishwa.?