Mwakyembe awatega wabunge CHADEMA, awaambia wakitaka ukweli warudishe hoja ya Richmond Bungeni

Mwakyembe awatega wabunge CHADEMA, awaambia wakitaka ukweli warudishe hoja ya Richmond Bungeni

Mkuu ulisoma hotuba ya waziri kivuli mnyika kuhusu maazimio ya bunge kuhusu richmond??? Hivi na wwe unaamini chadema wangemchukua lowassa kama wanajua mwisho wa siku HE IS A CRIMINAL na atakamatwa??? R they that dumb???

Najua humkubali lowassa ila ukiweka ushabiki pembeni na ukiangalia kwa picha kubwa utagundua ukweli wa mambo
Hivi wewe kuna fisadi gani aliwahi kukamatwa enzi za jk?
Wote tunajua Lowassa na jk wanahusika na richmond lkn chedema walitaka kupeleka fisadi ikulu
 
Waulize wabunge wanaohoji sasa hivi kwani hawakumaliza.?
Bunge lilitoa Mapendekezo na serikali haikuyatekeleza yote, na la pili ni kwamba wabunge wa sasa hawahoji suala la Richmond bali wanahoji weledi wa Mwakyembe pale anaposema hawezi kufanyia kazi Ripoti ya uchunguzi wa suala la kuvamiwa kwa Clouds kwa kuwa eti upande mwingine haujasilizwa, wakati yeye mwenyewe ana "Precedence" ya kutosikiliza upande wa pili!
 
Waziri wa habari Harrison Mwakyembe amewambia wabunge wa chadema kama wanataka ukweli wa ufisadi wa Richmond warudishe hoja hiyo bungeni.

Haya sasa karibuni kukanyagana maana hii hoja ni mwiba ambao watu wengine hawatakaki hata kuuona!
0bfc1bc264eaf8714b1f1f9e717fad6b.jpg
Mahakama ya Mafisadi haina watuhumiwa kama Lowassa ni Ufisadi kwanini asiwe mteja wa Kwanza kupelekwa??Sababu wanajua Mafisadi ni akina Mwakyembe wenyewe wanapiga Kelele tu.

Hakuna kitakachosemwa na hiki Chama Cha Mauaji kikawa kuzuri.
 
Hii serikali ijiuzulu tu.

Yaani wao ndio wameshika dola na wao ndio waliofunga huo mjadala Bungeni alafu leo ndio wanaowataka wapinzani waibue swala hilo badala ya kutekeleza maazimio ya Bunge au kufungua kesi Mahakamani.

Pathetic!
Lowasa alishasema " Hili dili tulicheza mtu tatu. JK, RA na EL" Unadhani Tundu Lisu alipomlist EL fisadi number moja Tanzania alikuwa anaropoka?
CHADEMA hawawezi kukubali kurudisha hoja kwa sababu TL mwenyewe anaujua ukweli wote.
 
Hakuna lolote hapo mpaka akina JPM wana husika.
 
Lowasa alishasema " Hili dili tulicheza mtu tatu. JK, RA na EL" Unadhani Tundu Lisu alipomlist EL fisadi number moja Tanzania alikuwa anaropoka?
Kwani CHADEMA walimwita Lowassa fisadi kwa hoja ya Richmond?
 
Sasa wewe hao wabunge wako wa chadema kina mnyika, lema, msigwa and co mbona walizunguka nchi nzima kuwaaminisha watu kama EL ndio anahusika na richmond

Sasa mpelekeni Mahakamani basi,kelele za nini??
 
Mkuu ulisoma hotuba ya waziri kivuli mnyika kuhusu maazimio ya bunge kuhusu richmond??? Hivi na wwe unaamini chadema wangemchukua lowassa kama wanajua mwisho wa siku HE IS A CRIMINAL na atakamatwa??? R they that dumb???

Najua humkubali lowassa ila ukiweka ushabiki pembeni na ukiangalia kwa picha kubwa utagundua ukweli wa mambo
Kwani ripoti ya Richmond imejadiliwa mwaka gani na Lowasa amekuja Chadema mwaka gani.?
 
Nawashangaa watu wanaoitwa watanzania ...eti nao wana nchi,serikali na dola...aaah very interesting
 
Hivi wewe kuna fisadi gani aliwahi kukamatwa enzi za jk?
Wote tunajua Lowassa na jk wanahusika na richmond lkn chedema walitaka kupeleka fisadi ikulu
Huyu JPM ana usafi gani hadi usimuweke ktk orodha ya mafisadi?!
 
Back
Top Bottom