Mwakyembe: Kati ya wasanii 10 duniani wenye sauti nzuri Diamond huwezi mtoa

mackdy1

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
208
Reaction score
94
Kupiitia kipindi hewani cha mshereshaji muimbaji mwanamashairi mwanausasa Mrisho mpoto thedon kiitwacho KAA HAPA. Waziri Mwakyembe akakaribishwa kimahjiano.

Katika mahijiano hayo yaliyojaa kuangalia maadili ya nyimbo zeto na music video wanazotoa,akaibua jambo buana lakumpa heko balozi wa wasanii Nassibu Abdul a.k.a Diamond Platinumz.

Mwakyembe akaeleza kwamba "tuchukulie kijana kama diamond,sauti yake peke yake inatosha kabisa kuuza,ukisema wasanii 10 duniani tuwe wakweli tu!wenye sauti nzuri,diamondi huwezi kumtoa pale"Mwakyembe

Hivi ni sawa kwa takwimu aliyoitoa mwakyembe kwa diamond au ndo kumpapasa kijana etu apoe...

Mi naona mondi ni kama wa laki mbili hivi mpaka kumuona yeye
 
Wewe unamuona mondi wa laki mbili lakini sasa hivi ana bilioni ngapi ?
Acha wivu,pambana na hali yako
 
Ila sio kwa namba alotaja kiongozi jaman.....lawama zile
 
Kupiitia kipindi hewani cha mshereshaji muimbaji mwanamashairi mwanausasa Mrisho mpoto thedon kiitwacho KAA HAPA. Waziri Mwakyembe akakaribishwa kimahjiano.

Katika mahijiano hayo yaliyojaa kuangalia maadili ya nyimbo zeto na music video wanazotoa,akaibua jambo buana lakumpa heko balozi wa wasanii Nassibu Abdul a.k.a Diamond Platinumz.

Mwakyembe akaeleza kwamba "tuchukulie kijana kama diamond,sauti yake peke yake inatosha kabisa kuuza,ukisema wasanii 10 duniani tuwe wakweli tu!wenye sauti nzuri,diamondi huwezi kumtoa pale"Mwakyembe

Hivi ni sawa kwa takwimu aliyoitoa mwakyembe kwa diamond au ndo kumpapasa kijana etu apoe...

Mi naona mondi ni kama wa laki mbili hivi mpaka kumuona yeye

Kuna ambao bado hata awajulikani wana sauti nzuri... kumbe ile sumu haikuisha kichwani
 
Ile sumu sijui inauwa nini kny mwili mana si kwa kulewa kule!![emoji1] [emoji1]
 
Diamond hawezi kuwa hata kwenye top 100,000 ya sauti....huu ndio ukweli

Sema mwakyembe kawasikiliza wasanii Hawa tu

1. Nay wa mitego
2. 20 percent
3. Abby skills
4. Mrisho mpoto
5. Inspekta haroun
6. Ali kiba
7. Hemed
8. Hammer q
9. Juma nature
10. Chegge

Sasa ukimtajia Sam milby, John Legend huko hawezi kukuelewa..
 
kweli ""...hawezi kumjua vyema hata mack Anthony
 
Kupiitia kipindi hewani cha mshereshaji muimbaji mwanamashairi mwanausasa Mrisho mpoto thedon kiitwacho KAA HAPA. Waziri Mwakyembe akakaribishwa kimahjiano.

Katika mahijiano hayo yaliyojaa kuangalia maadili ya nyimbo zeto na music video wanazotoa,akaibua jambo buana lakumpa heko balozi wa wasanii Nassibu Abdul a.k.a Diamond Platinumz.

Mwakyembe akaeleza kwamba "tuchukulie kijana kama diamond,sauti yake peke yake inatosha kabisa kuuza,ukisema wasanii 10 duniani tuwe wakweli tu!wenye sauti nzuri,diamondi huwezi kumtoa pale"Mwakyembe

Hivi ni sawa kwa takwimu aliyoitoa mwakyembe kwa diamond au ndo kumpapasa kijana etu apoe...

Mi naona mondi ni kama wa laki mbili hivi mpaka kumuona yeye
Itakua mwandishi amechanganya kati ya Duniani na Africa, Ukisema Africa naweza kukubali ila kwa Duniani hapana aisee
 
Mwakyembe atakuwa kalishwa sumu tu.....Diamond hana sauti nzuri hata ile ya wastani hana. Sema tu ana nyota ya kupendwa ila hata kimuziki kuna wasanii madogo tu hapa Bongo wanampita sana tena vibaya mno.
 
Huyu nae anapenda kujipendekeza kwa domo, viongoz wa Tanzania hovyo ndio maana diamond anapost picha za makende kila siku insta na Mahawara zake mxieew
 
Back
Top Bottom