mackdy1
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 208
- 94
Kupiitia kipindi hewani cha mshereshaji muimbaji mwanamashairi mwanausasa Mrisho mpoto thedon kiitwacho KAA HAPA. Waziri Mwakyembe akakaribishwa kimahjiano.
Katika mahijiano hayo yaliyojaa kuangalia maadili ya nyimbo zeto na music video wanazotoa,akaibua jambo buana lakumpa heko balozi wa wasanii Nassibu Abdul a.k.a Diamond Platinumz.
Mwakyembe akaeleza kwamba "tuchukulie kijana kama diamond,sauti yake peke yake inatosha kabisa kuuza,ukisema wasanii 10 duniani tuwe wakweli tu!wenye sauti nzuri,diamondi huwezi kumtoa pale"Mwakyembe
Hivi ni sawa kwa takwimu aliyoitoa mwakyembe kwa diamond au ndo kumpapasa kijana etu apoe...
Mi naona mondi ni kama wa laki mbili hivi mpaka kumuona yeye