Mwakyembe: Marufuku kumuliza Azory Gwanda alipo. Mbona viongozi wa Serikali hamuwaulizii? Waliokashifiwa na gazeti la Tanzanite waende Mahakamani



Dr Nwaktyembe wananchi tunataka kujua alipo Azory Gwanda, nani amemteka? Taarifa za uchunguzi wa vyombo dola kuhususu kupotea kwake umefikia wapi? Dr Mwakyembe tunaomba majibu.
 
Ukiona viongovi Wa serekali wanakingia kifua kuna mkono wao na wanajua usalama Wa taifa kuhusika yote yatakuwa wazi siku za usoni
 
ewe mwenyenzi Mungu, mwingi wa rehema, tunakuomba waja wako umempende zaidi waziri wetu, umwite kwako mbinguni afurahi na malaika zako. Ameni
 
Na mm nauliza wapi Azory na Ben Saanane?
Asitokee mtu yeyoye wa kunipangia nimuulizie nani na nimuache nani?
Tuheshimiane aisee!!
 
Kupotea kwa viongozi wa serikali hakuondoi haki ya kumuulizia Azory Gwanda.
 
Kuna wakati unaamini kila kinachofanyika ni kusudio la Mungu kutuonyesha wanafiki wa Taifa hili.
Mwakiembe ni mfano wa laana ya Taifa hili na bahati mbaya amenyimwa hata akili ya kuwaza kesho yake itakuwaje .
 
Mwakiyembe amezidiwa utu na akili hata na mbwa ninayemfuga nyumbani kwangu
 
ewe mwenyenzi Mungu, mwingi wa rehema, tunakuomba waja wako umempende zaidi waziri wetu, umwite kwako mbinguni afurahi na malaika zako. Ameni
Mkuu MIJITU aina ya mwakiyembe inatakiwa iende kuzimu kwa baba yao ibilisi.
 
...watu wasiendelee kufuatilia waliopotea..... Serikali itaendelea kudhibiti watoa maoni...!!!
Nadhani serikali ingeweka juhudi kusaka na kuwatambua watekaji...
Watoa maoni si watu hatari kama wale wanaoteka
HUJAELEWA TU HAPO AU???
 
..mbona magazeti ambayo ni pro-wapinzani yakikosea SEREKALI inachukua hatua?

..wananchi wanataka SEREKALI ichukue hatua kwa Tanzanite kama ilivyofanya huko nyuma kwa mwanahalisi, na magazeti mengine.
Kwa magazeti yanayowafanyia kazi wao kama huridhuki nalo lala mbele mahakamani, lakini kwa yale ambayo hawayapendi basi wanafungia moja kwa moja ikikukera nenda mahakamani. Hizi ndio double standards za viongozi hawa wa CCM. Huo ndio ustaraabu wao hawa majamaa.
 
..mbona magazeti ambayo ni pro-wapinzani yakikosea SEREKALI inachukua hatua?

..wananchi wanataka SEREKALI ichukue hatua kwa Tanzanite kama ilivyofanya huko nyuma kwa mwanahalisi, na magazeti mengine.
Yaah inachukua hatua kwa kufuata taratibu. Gazeti mfano likaandika Waziri amekwapua hela za umma Na sio kweli,kuna mwanasheria wa serikali, kuna msemaji wa wizara na viongoz husika ambao moja kwa moja watafuata uongoz wa gazeti husika kuthibitisha au kukanusha na mara nyingi uambatana na barua za onyo kwa gazeti husika. Na Mwisho gazeti halisikii ni kupigwa ban.Serikali haiwez lifungia gazeti kisa limeandika zito anatembea na mke wa marehem coz zito sio serikali, zito sio kiongoz wa serikali. Hapa anayetakiwa kuwajibika na kuhakikisha Haki inapatikana ni Zito. Serikali haiwez mwita mhariri ajieleze kwa mambo binafsi ya Zito au mtu yyt yule. Elewa tu Serikali haiwajibiki kwa vyovyote vile na habari binafsi za Mtu.
 
Uko sahihi kaka, ila ni mahakama hizi hizi ambazo mahakimu wanaosaka ujaji toka kwa rais kwa kupindisha sheria?
Hizo ndio tunaita ramli, kwamba hata mahakaman hujawahi enda unasema Mahakama zinapindisha sheria. Leo hii zito anaandikwa uchafu wake badala ya kumburuza mahakaman mhariri anakimbilia tweeter au fb kutoa shutuma zake naye.Oooh anatumwa TISS, Tuseme kweli anatumwa na TISS, je anayoongea ni SAHIHI au sio sahihi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…