Dr mkuu kawaharibuJamani ha Ma Dr. wamekumbwa na nini nchi hii?
Mwakyembe aliugua ngoma hatari akasingizia kalishwa sumuMwakyembe amesahau alivyobabuka mwili watu walikuwa wakimuulizia pia , leo kapona anaponda wanaomuulizia Azori Gwanda ! Hii ni aibu kubwa sana !
Ina maanisha wanapajua wapi alipopotelea na watamrejeshejesha wakijiridhisha ila ikitokea bahati mbaya mauti yakamkuta huko iwe kutoka kwa watekaji au kifo cha kawaida hatarudi tena !"Amesema kwamba pamoja na kwamba watu wengi wanataka kujua alipo Gwanda lazima waelewe kwamba eneo alilopotelea mwandishi huyo walipotea watu wengi wakiwamo viongozi wa Serikali."
Hilo jibu linaonyesha aliyepotea hana thamani yoyote mbele ya Waziri
Azory is dead & gone. Mwenye masikio na asikie.
Nilisikia alidakwa na kufichwa na wajeda kwenye ile operesheni ya MKIRU. Sasa sijui kama ni kweli.
Ndugu wekeni matanga tu!
Hapana utu bado upo ila kuna kikundi kimezoea uovu mpaka wanajisifu uovu wao.Kweli utu/ubinadam umepotea miongoni mwetu watanzania hasa hiki chama cha ccm!!!hivi kweli ingelikuwa ni ndugu yake Mwakyembe amepotea angesema hivyo!? Kama nchi naona kuna sehem tulikosea na sasa adhabu tunaipata vilivyo.
Tatizo unataka kulazimisha mawazo yafananeNi wajinga tu ndio wanaofurahia huu utawala.
Dr Mwakyembe ataka watu waache kuuliza alipo Azory Gwanda.
Na:Maregesi Paul, Dodoma
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amewashangaa watu wanaofuatilia mahali alipo mwandishi wa habari Azori Gwanda.
Dk Mwakyembe ameyasema hayo bungeni leo alipokuwa akihitimisha mjadala wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2019/20.
Amesema kwamba pamoja na kwamba watu wengi wanataka kujua alipo Gwanda lazima waelewe kwamba eneo alilopotelea mwandishi huyo walipotea watu wengi wakiwamo viongozi wa Serikali.
Kutokana na hali hiyo Waziri huyo amesema watu wasiendelee kufuatilia mahali alipo mwandishi huyo kwa kuwa hilo ni suala dhaifu.
Dk Mwakyembe aliyasema hayo bungeni leo alipokuwa alihitimisha mjadala wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2018/20.
“ Pamoja na hayo Serikali itaendelea kudhibiti watu wanaokiuka utoaji wa maoni kwa kuwa hakuna uhuru usiokuwa na mipaka,”amesema Dk Mwakyembe.
Katika hatua nyingine Waziri huyo amewataka watu wanaokashifiwa na magazeti wakalalamike mahakamani kwa kuwa ndiko haki inakopatikana.
Source:Mtanzania Online
Wewe ni miongoni mwa hao wajinga na wabinfsi!Tatizo unataka kulazimisha mawazo yafanane
Ama kweli aliyeshiba leo haikumbuki njaa iliyomkuta jana!Dr Mwakyembe ataka watu waache kuuliza alipo Azory Gwanda.
Na:Maregesi Paul, Dodoma
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amewashangaa watu wanaofuatilia mahali alipo mwandishi wa habari Azori Gwanda.
Dk Mwakyembe ameyasema hayo bungeni leo alipokuwa akihitimisha mjadala wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2019/20.
Amesema kwamba pamoja na kwamba watu wengi wanataka kujua alipo Gwanda lazima waelewe kwamba eneo alilopotelea mwandishi huyo walipotea watu wengi wakiwamo viongozi wa Serikali.
Kutokana na hali hiyo Waziri huyo amesema watu wasiendelee kufuatilia mahali alipo mwandishi huyo kwa kuwa hilo ni suala dhaifu.
Dk Mwakyembe aliyasema hayo bungeni leo alipokuwa alihitimisha mjadala wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2018/20.
“ Pamoja na hayo Serikali itaendelea kudhibiti watu wanaokiuka utoaji wa maoni kwa kuwa hakuna uhuru usiokuwa na mipaka,”amesema Dk Mwakyembe.
Katika hatua nyingine Waziri huyo amewataka watu wanaokashifiwa na magazeti wakalalamike mahakamani kwa kuwa ndiko haki inakopatikana.
Source:Mtanzania Online
Utateseka sana,bado.miaka kama saba hiviWewe ni miongoni mwa hao wajinga na wabinfsi!
Umeshasema yamekiuka taratibu na serikali ina mamlaka ya kuyafungia magazeti pale yanapokiuka taratibu. Sasa kwa Zito Gazeti limekiuka taratibu gani?Hayo malalamiko kampelekea nani?Au huko tweeter na fb ndio Serikali iliko?