Mwalim Alex Kashasha, mtaalamu maahiri wa Soka asiyeonekana

Mwalim Alex Kashasha, mtaalamu maahiri wa Soka asiyeonekana

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,056
Reaction score
10,721
IMG_1166.jpg

Huyu mwalimu ni mchambuzi mzuri sana wa soka kupitia TBC 1, haswa wakati wa matangazo ya Mpira.

Ukimsikiliza utashawishika kuwa hakika anaujua mpira, mbinu za mpira na saikolojia yake.

Najiuliza vipi serikali na TFF haikioni hiki kipaji?

Hawa ndio wanaofaa kwenye bench la ufundi katika timu zetu, hasa za Taifa.
 
Mwalimu kashasha kasoma mpira,sio hawa wanaojifanya wachambuz wakat haa ngazi ya chini ya ukocha hawajaptia
 
View attachment 432180
Huyu mwalimu ni mchambuzi mzuri sana wa soka kupitia TBC 1, haswa wakati wa matangazo ya Mpira.

Ukimsikiliza utashawishika kuwa hakika anaujua mpira, mbinu za mpira na saikolojia yake.

Najiuliza vipi serikali na TFF haikioni hiki kipaji?

Hawa ndio wanaofaa kwenye bench la ufundi katika timu zetu, hasa za Taifa.
Mwl Kashasha yupo vizuri sana ni type ya akina Dr Leaky Abdallah
 
Uingereza hakuna mchambuzi aliekuwa na mvuto kama Garry Nevile
ukiachilia mbali alishaichezea Manchester United

Akaacha uchambuzi akaenda kufundisha Valencia....

aibu tupu huko kaacha

tehtehtehtehteh....sometimes theory and practice are two poles apart and as such two different things....Yaani 'wapiga porojo' wakati mwingine ukiwapa 'ujiko' utalia...Wakati mwingine huwa nawasikiliza wachambuzi wetu wa soka kwenye luninga na hata waandishi wa habari kwenye magazeti mpaka nacheka mwenyewe...duh...wengine wana mbwembwe kweli kweli mpaka unashangaa inakuwaje wasipewe 'ujiko'...duh...wengine na hasa waandishi wa magazeti utawaona wameandika makala ndefu ndefu kuhusu timu za nje au wachezaji wa nje na wao wenyewe kuweka picha zao wakiwa kwa mfano kwenye duka la vifaa vya michezo pale North London yaani kwenye klabu ya Arsenal na kadhalika na kadhalika....Mwingine utaona ameandika 'nilipokuwa nikisubiri ndege kwenye uwanja wa ndege pale Paris nikaona mchezaji fulani akipita...blah blah blah...' duh....jamani ipo kazi kweli kweli....But on a serious note ni kweli wapo wachambuzi wazuri in theory and practice, lakini hawawezi kupata nafasi moja ya sababu ni kuwa hawajui kufanya 'lobbying' kupata nafasi hizo.....
 
Dokta Leakey anaponzwa na mahaba.
Anashindwa kuyaficha mahaba yake juu ya Barcelona.
Kwahili linanifanya nimuone mwalimu Kashasha bora zaidi.
Dr leakey is living legend usimfananishe tena na watu wa hovyo hovyo
 
mwalimu kashasha hamna kitu kila mechi anasema imebalance
hata taifa stars ilivyofungwa 7-0 na algeria kila muda anasema mechi imebalance mpaka mwenzie akamkimbia redion
 
Dokta Leakey anaponzwa na mahaba.
Anashindwa kuyaficha mahaba yake juu ya Barcelona.
Kwahili linanifanya nimuone mwalimu Kashasha bora zaidi.
channeli gani huchambua mechi za Barca?
 
Back
Top Bottom