Huyu mwalimu ni mchambuzi mzuri sana wa soka kupitia TBC 1, haswa wakati wa matangazo ya Mpira.
Ukimsikiliza utashawishika kuwa hakika anaujua mpira, mbinu za mpira na saikolojia yake.
Najiuliza vipi serikali na TFF haikioni hiki kipaji?
Hawa ndio wanaofaa kwenye bench la ufundi katika timu zetu, hasa za Taifa.