Mwl Kashasha yupo vizuri sana ni type ya akina Dr Leaky AbdallahView attachment 432180
Huyu mwalimu ni mchambuzi mzuri sana wa soka kupitia TBC 1, haswa wakati wa matangazo ya Mpira.
Ukimsikiliza utashawishika kuwa hakika anaujua mpira, mbinu za mpira na saikolojia yake.
Najiuliza vipi serikali na TFF haikioni hiki kipaji?
Hawa ndio wanaofaa kwenye bench la ufundi katika timu zetu, hasa za Taifa.
Uingereza hakuna mchambuzi aliekuwa na mvuto kama Garry Nevile
ukiachilia mbali alishaichezea Manchester United
Akaacha uchambuzi akaenda kufundisha Valencia....
aibu tupu huko kaacha
Dokta Leakey anaponzwa na mahaba.Mwl Kashasha yupo vizuri sana ni type ya akina Dr Leaky Abdallah
Dr leakey is living legend usimfananishe tena na watu wa hovyo hovyoDokta Leakey anaponzwa na mahaba.
Anashindwa kuyaficha mahaba yake juu ya Barcelona.
Kwahili linanifanya nimuone mwalimu Kashasha bora zaidi.
au dokta afanye kazi ya pharmacist. Jamaa akitaka adharaulike basi akafundishe.Naona unataka pharmacist afanye kazi ya Dr
channeli gani huchambua mechi za Barca?Dokta Leakey anaponzwa na mahaba.
Anashindwa kuyaficha mahaba yake juu ya Barcelona.
Kwahili linanifanya nimuone mwalimu Kashasha bora zaidi.